Nini kiliendelea baada ya Adam kupewa usingizi mzito Eden?

Nini kiliendelea baada ya Adam kupewa usingizi mzito Eden?

raxx

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2016
Posts
326
Reaction score
284
Moja kwa moja kwenye mada.

Baada ya Mungu kutaka kumuumba Mwanamke Adam alimpa usingizi mzito na jambo moja alilofanya ni kuchomoa mbavu moja kwa Adamu kwa ajili ya material ya kumuumba Mwanamke.

Je, ni hilo tu ndilo lililofanyika Adam akiwa usingizini? Pengine hichi ndicho kipindi Mungu alimpa maumbile ya kiume na Tamaa ya kimwili Adam ili wazae na waongezeke.
 
Back
Top Bottom