Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

Niliambiwa nafaa kuwa supervisor wao 😅😅😅nikasema nimeisha
 
Ni siku ya tatu leo Kuna habari ya mjini naskia habari za pango, pango pango,
Mara mwingine anauliza hivi pango kama like unaanzaje kuzamia..

Nipeni connection wakuu Mimi sijaliona
 
Namshukuru Mungu sana!!!!! Kanipa ngozi natural umbo ambalo nikikwambia Niko kwenye menopause huwezi amini!!!!!!! English nyonyo!!!!
Kinachonishtua kuwa uzee huu hapa ni minyege aiseee hii hali sio poa.....
Wakati sisi wanaume age ikikata stimu zinapungua kwa nyie ni tofauti
 
Hahaha ko kuitwa tu mzazi ukaogopa? Kuna wale wanaozaa wakiwa na umri mdogo probably 17 yrs, ko hao wakiitwa wazazi watakuwa wamezeeka
Aliyezaa na miaka 17 hajawahi kuitwa mzazi, kwani kila mtu anajua ni ajali tu.
 
Nikiamkiwa na watu ambao nawaona wakubwa, bonge la jamaa halafu likifika kwangu linaniamkia, nabaki kuwaza hivi naonekanaje mie.
 
Kuna wasichana ukiwasalimia za sahizi hawaitikii...wanaona unawazeesha...mimi kuna siku mtoto wa miaka miwili aliniita Babu Babu...nikajisemea kimoyomoyo, nishazeeka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…