The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Ukiona kila kikao cha familia wanakunanga uoe basi ujue ushasogea!
Utasikia rafiki zako wote uliokuwa nao na kusoma nao, wameoa bado wewe.
Rafiki zako wote wana watoto bado wewe. ๐
Kwa age hiyo mamaaa Bado mdogo sana..,... Na usijibanie enjoy to the fullest.
Mwamkie dada yako, huyo ni dada yako. Nae anaufurahia ujana wake maana yupo kwa ile peak๐ ๐ hadi namkimbia maana hachoki!ERon bado hajaja kutusuluhisha.
Uzuri mi na wewe sote tumekulia humu.
Hii kesi haiishi hadi iishe ๐คฃ
Tena kuna muda hadi watoto wangu hua nawauliza "Wewe ni nani?"Bwana toka hapa! ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Maneno Naweza nisiyaelewe Ila picha haihitaji maelezo mengi ๐Mbaga Jr, umeanza kutaka picha mkuu. ๐
Na kakwambia wewe!!!!!Hakika wanawake wakiingia ghorofa ya nne Huwa haawataki uzee wakati ni kawaida
Kwahiyo anakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kuchepuka wakati huo?Na kakwambia wewe!!!!!
Tena mwanamke aliye 40+ ndio kundi la mwanamke anaefurahia sana maisha katika angle zote zaidi kwenye kudinywa.
Usijifanye Mungu mtu kujua usiyoyajua.
Hii peak inaenda kipindi kirefu sana.Peak hiyo, usiache kuufurahisha mwili maana baada ya hapo utashangaa hizo nyege zilipoenda
HakikaNa kakwambia wewe!!!!!
Tena mwanamke aliye 40+ ndio kundi la mwanamke anaefurahia sana maisha katika angle zote zaidi kwenye kudinywa.
Usijifanye Mungu mtu kujua usiyoyajua.
Kuchepuka ni uhuru wa mtu na maamuzi binafsi ambayo Mimi hayanihusu. Kuhusu uwezekano sijuiKwahiyo anakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kuchepuka wakati huo?
Huo ndio ukweli mamaa kula maisha kabla majukumu hayajakuzidia.Mtaniponza ๐
Kwa hiyo English nyonyo hulijui????English nyonyo Ndo ipoje Hii, em picha ๐
Hapa ndipo faida ya nyeto kwa jinsia yote inapoonekana ๐Binafsi nimeanza kupoteza interest tayari na mama nae yupo kwenye peak ya utamu, ni changamoto sana kuhakikisha mwenzako yupo sawa๐
Ai ananiambia hawezi kunisaidia hiloKwa hiyo English nyonyo hulijui????
Picha muombe Al
Nnalo moja katikati kabisa ya kinena,silielewi,ni uzee au ukoo unataka kunitoa kafara!?Mvi za kwenye mavuzi
Hormone hizo,kunywa dawa kuzipunguza ikiwa umefika 50s,utatia aibuNyege aisee
Kumbe ndo maana kina shilole wako busy kusajili viben ten
Umri wa mwanaume ukiongezeka nguvu zinapungua.mwanamke zinaongezeka
Wenginewakizeeka na wajukuu wengine nyege shetani anataka Tu akudhalilishe
Mwanamke. Kama hukutumika Sana ujanani .ukiwa mmama unateseka Sana kumbe
Hata mimi imenitokea hiyo jana, muhudumu alimwambia mwenzake mpelekee yule baba glas ya wine, nikajua tayari uzee huo unakuja!Nilipomsikia mhudumu wa bar alipomwelekeza mwenzake nenda kampelekee yule mzee pale Serengeti Laga ya baridi. Dah ilibidi niende toilet nikajiangalie kwenye kioo kwanza.
Wanangu waliponza Universities/Colleges.Kuna muda mtu unakuwa na mambo mengi hadi unasahau kama upo kwenye "Age go" unaongeza miaka ila ni kama unajiona bado mdogo tu mpaka ukutane na jambo fulani ndio unastuka kumbe umri wangu ushaenda hivyo.
Kuna wengine ongezeko la shikamoo ndio linawastua wengine kuitwa kwneye vikao vya ukoo nk.
Kipi kilikufanya ujue umri ushakutupa mkono?