Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

Young forever kivipi mzee wakati unaona mwenyewe hapo huo umri unakuacha
 
Pale napoona vibinti vidogo vya miaka 16 ninavyovitaka vinanipa Shikamoo..

Vinanikumbusha kuongeza juhudi sana umri umesogea
 
Niwakumbushe pia dalili nyingine wazee wenzangu

Pale unapojihisi mapenzi na mungu yameongezeka na unaanza kutamani kwenda kanisani zaidi.

Kwisha habari yako, umri umekutupa mkono
 
Niwakumbushe pia dalili nyingine wazee wenzangu

Pale unapojihisi mapenzi na mungu yameongezeka na unaanza kutamani kwenda kanisani zaidi.

Kwisha habari yako, umri umekutupa mkono
Hii ya kwenda kanisani mbona kama haihusiani
 
Trust me, kama mwanzo ulikuwa masuala ya kanisani hauyaelewi ila ghafla umeanza kuvutiwa na unahudhuria sana, mara sijui unahangaika na masuala ya kuomba au kuombewa TOBA kanisani

Usihangaike sana, ongeza juhudi umri ushaisha huoo
Kuna wazee wana mvii mpka sehemu nyeti na wala hawamuamini hata huyo Mungu
 
Mwamkie dada yako, huyo ni dada yako. Nae anaufurahia ujana wake maana yupo kwa ile peakπŸ˜…πŸ˜…hadi namkimbia maana hachoki!
😳😳😳😳😳
Shindwaaaa!
 
Responsibility
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…