Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

Niwakumbushe pia dalili nyingine wazee wenzangu

Pale unapojihisi mapenzi na mungu yameongezeka na unaanza kutamani kwenda kanisani zaidi.

Kwisha habari yako, umri umekutupa mkono

Huu mwezi nimejikuta nafurahia sana nyimbo za dini isivyo kawaida yaani 😀
 
Mzee wa kanisa ni cheo sio umri,pole hata vyama vya kidini kama ukwata kule sekondari Wana wa wazee wa kanisa,wale ni wazee?
 


NILIPOUTAFUTA MWAKA ULIOPITA SIKUUPATA NIKAGUNDUA UMEENDA.
 
Niwakumbushe pia dalili nyingine wazee wenzangu

Pale unapojihisi mapenzi na mungu yameongezeka na unaanza kutamani kwenda kanisani zaidi.

Kwisha habari yako, umri umekutupa mkono
Kumtumikia Mungu ni kwa umri wote kuanzia mdogo mpaka mkubwa usisubiri umekongoroka ndio umkumbuke muumba wako
 
Kupokea au kuongea kwenye cmu naweka loudspeaker..zamani nlikuwa nashangaa wanaofanya ivo
 
nilikuwa natembea bao 9 hadi 13 kuanzia asubuh hadi jioni, enzi hizo nakula boom na mapart time sasa hivi hata bao tatu siendi siku nikipiga bao tano kwa siku sitafanya kazi yoyote.

zaodi6na zaidi nilikipiga mechi kali na malaria inaniripika. homa.

nikajua age go
 
Wanawake wakizeeka wanakosa hamu ya tendo, hapo ndo huolewa mke mdogo, lakini humu mnadanganyana sana au kisa fake id,et hamu imekuwa kubwa we wazee hawana hamu kabisa kama ipo ni kidogo sana, compare to men, mnadanganyana sana au wote humu watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…