MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tokea ale Kiapo chake hakuna Nguo anayovaa isimpendeze na hata isivutie Machoni mwetu Wazee wa Kuchunguza na Kudadisi kila Kitu.
Siyo Siri Nguo alizokuwa akizivaa alipokuwa Makamu zilikuwa hazina Mvuto na zilizidi Kumzeesha Mithili ya Bibi Kizee mwenye Mkongojo wake.
Halafu naona hata Usoni Mama hivi sasa Rangi yake imezidi kuwa Nyeupe sana naomba Wahusika wapunguze Wese lake wakiwa wanampaka.