Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapacha wa kariakoo hawamuamini.Hivi huyu jamaa Simba, Yanga, Azam hawakumwona ?imekuaje akabaki Geita Gold? Kuna maslahi gani pale au kati ya hizo timu hamna iliyomfuata?
Alicheza baadae wakamtoa hakuna Cha maana alichofanyaKwani jana alicheza?
Kama hakucheza basi hayupo Geita Gold?
Huyu jamaa ni kismati tu kilimkuta lakini hana kitu na msimu huu hutanuona kwa lolote,pia ana unri mkubwaHivi huyu jamaa Simba, Yanga, Azam hawakumwona ?imekuaje akabaki Geita Gold? Kuna maslahi gani pale au kati ya hizo timu hamna iliyomfuata? Maana msimu huu sidhani hata goli 8 kama atafikisha maana ligi imekuwa ngumu zaidi.
Huyu jamaa namfahamu toka a nacheza ndondo Igawilo mbeya the guy is talented sema Basi tu.....Hakuna mchezaji pale...
Huyu jamaa namfahamu toka a nacheza ndondo Igawilo mbeya the guy is talented sema Basi tu.....
Naunga mkono jamaa yupo vizur kuliko kibu ana kipaj sifa zote za mpira anazoHuyu jamaa namfahamu toka a nacheza ndondo Igawilo mbeya the guy is talented sema Basi tu.....
Chezaji jinga sana labda liende kinye fc kwani kila wakicheza na Simba linaonesha hasira na chuki kwa wachezaji wa SimbaHivi huyu jamaa Simba, Yanga, Azam hawakumwona ?imekuaje akabaki Geita Gold? Kuna maslahi gani pale au kati ya hizo timu hamna iliyomfuata? Maana msimu huu sidhani hata goli 8 kama atafikisha maana ligi imekuwa ngumu zaidi.
Nasema soka ni mchezo wa furaha,huwezi kusajili chezaji lenye hasira kila lilikabwa,Kibu ana enjoy na kujituma ni bora sana kuliko hilo chezaji lenu kwani kwanza lina chuki na SimbaNaunga mkono jamaa yupo vizur kuliko kibu ana kipaj sifa zote za mpira anazo
AlichezaKwani jana alicheza?
Kama hakucheza basi hayupo Geita Gold?