Nini kilimfanya George Mpole abaki Geita Gold?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Hivi huyu jamaa Simba, Yanga, Azam hawakumwona ?imekuaje akabaki Geita Gold? Kuna maslahi gani pale au kati ya hizo timu hamna iliyomfuata?

Maana msimu huu sidhani hata goli 8 kama atafikisha maana ligi imekuwa ngumu zaidi.
 
Hivi huyu jamaa Simba, Yanga, Azam hawakumwona ?imekuaje akabaki Geita Gold? Kuna maslahi gani pale au kati ya hizo timu hamna iliyomfuata? Maana msimu huu sidhani hata goli 8 kama atafikisha maana ligi imekuwa ngumu zaidi.
Huyu jamaa ni kismati tu kilimkuta lakini hana kitu na msimu huu hutanuona kwa lolote,pia ana unri mkubwa
 
Hivi huyu jamaa Simba, Yanga, Azam hawakumwona ?imekuaje akabaki Geita Gold? Kuna maslahi gani pale au kati ya hizo timu hamna iliyomfuata? Maana msimu huu sidhani hata goli 8 kama atafikisha maana ligi imekuwa ngumu zaidi.
Chezaji jinga sana labda liende kinye fc kwani kila wakicheza na Simba linaonesha hasira na chuki kwa wachezaji wa Simba
 
Tatizo wachezaji wanakosa mawakala wazuri wakuwasimamia ndo tatizo hlo huanzia hapo.
 
Naunga mkono jamaa yupo vizur kuliko kibu ana kipaj sifa zote za mpira anazo
Nasema soka ni mchezo wa furaha,huwezi kusajili chezaji lenye hasira kila lilikabwa,Kibu ana enjoy na kujituma ni bora sana kuliko hilo chezaji lenu kwani kwanza lina chuki na Simba
 
Aulizwe Kocha wake aliona bora ambanie asitue [emoji881] abakie hapo hapo ila ingekua uto wanamtaka lazima kocha angeliachia akajiunge nao
 
Aulizwe Kocha wake aliona bora ambanie asitue [emoji881] abakie hapo hapo ila ingekua uto wanamtaka lazima kocha angeliachia akajiunge nao
Minziro si alikuwaga mchezaji wa Yanga kwahiyo haishangazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…