Nini kilimsibu msanii Godzilla?

Nini kilimsibu msanii Godzilla?

Sasso

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2023
Posts
530
Reaction score
1,957
Wakuu,

Labda kama nimepitwa kidogo.

Moja ya wasanii ambao hawasemwi sana lakini personally naamini walikua gifted ni Godzilla. Najua kifo kipo kinatusubiria wote lakini huyu mwamba siku zake za mwisho hakuwa sawa (ni pombe, labda unga?).

Mwenye ABC's atuambie.
 
Unaweza kupata mawili matatu kuhusu kifo chake


 
Back
Top Bottom