Mwanamuziki huyo wa miondoko ya Hip Hop amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Salasala Jijini Dar, mwili umehifadhiwa Hospitali ya Jeshi Lugalo. Atakumbukwa kwa vibao vyake kama vile Nataka na Kingzilla. Aidha, Godzilla alijizolea umaarufu na mashabiki wengi kutokana...