Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Uzi Ufungwe.I'm no longer Tyson the animal... Mike Tyson
Uchambuzi mzuri. Pamoja sana.Pambano lilikua zuri sana.Nimefurahi sana kwasababu kiduku kakutana na mpinzani mwenye sifa nyingi ulingoni tofauti na mabondia wengi aliokua akikutana nao.Twaha ni bonge ya bondia,utulivu wake ulingoni unampa nafasi kubwa yakumiliki pambano ila anakosa maamuzi ya mwisho kwa wakati sahihi,hana sababu yakua nunda kwakuvumilia makonde ya mpinzani wakati yeye apigi na akipiga anakua kachelewa.Kwenye ilo pambano alitakiwa kubadilika mapema kwa kumpiga mpinzani wake body bunch zakutosha badala yakufocus tu kutaka kupiga kichwa wakati mpinzani wake alishaonyesha ataki amsogelee.Mwili anao,nguvu anazo anachotakiwa ni kubadilika uchezaji wake.Akafanyie kazi mapungufu yake atafika mbali.
Yule msouth alishamshtukia Twaha staili yake ya kutaka akubananishe kwenye kamba.Pambano lilikua zuri sana.Nimefurahi sana kwasababu kiduku kakutana na mpinzani mwenye sifa nyingi ulingoni tofauti na mabondia wengi aliokua akikutana nao.Twaha ni bonge ya bondia,utulivu wake ulingoni unampa nafasi kubwa yakumiliki pambano ila anakosa maamuzi ya mwisho kwa wakati sahihi,hana sababu yakua nunda kwakuvumilia makonde ya mpinzani wakati yeye apigi na akipiga anakua kachelewa.Kwenye ilo pambano alitakiwa kubadilika mapema kwa kumpiga mpinzani wake body bunch zakutosha badala yakufocus tu kutaka kupiga kichwa wakati mpinzani wake alishaonyesha ataki amsogelee.Mwili anao,nguvu anazo anachotakiwa ni kubadilika uchezaji wake.Akafanyie kazi mapungufu yake atafika mbali.
Umemaliza.pia naona ana same style of playing,hana jab na hizo body Punch ndo hapigi kabisa ana guard mda mwingi sana wa mchezo kutafuta K,O.Pambano lilikua zuri sana.Nimefurahi sana kwasababu kiduku kakutana na mpinzani mwenye sifa nyingi ulingoni tofauti na mabondia wengi aliokua akikutana nao.Twaha ni bonge ya bondia,utulivu wake ulingoni unampa nafasi kubwa yakumiliki pambano ila anakosa maamuzi ya mwisho kwa wakati sahihi,hana sababu yakua nunda kwakuvumilia makonde ya mpinzani wakati yeye apigi na akipiga anakua kachelewa.Kwenye ilo pambano alitakiwa kubadilika mapema kwa kumpiga mpinzani wake body bunch zakutosha badala yakufocus tu kutaka kupiga kichwa wakati mpinzani wake alishaonyesha ataki amsogelee.Mwili anao,nguvu anazo anachotakiwa ni kubadilika uchezaji wake.Akafanyie kazi mapungufu yake atafika mbali.
Alikuwa analetewa vinyozi badala ya mabondia halisiKwani ni nini kilipelekea Twaha Kiduku Kushinda Mapambano yake yaliyopita??
Sasa kama hataki asogelewe body punches ili zifike inabidi akubali shuruba kabla hajacounter na body punches.Pambano lilikua zuri sana.Nimefurahi sana kwasababu kiduku kakutana na mpinzani mwenye sifa nyingi ulingoni tofauti na mabondia wengi aliokua akikutana nao.Twaha ni bonge ya bondia,utulivu wake ulingoni unampa nafasi kubwa yakumiliki pambano ila anakosa maamuzi ya mwisho kwa wakati sahihi,hana sababu yakua nunda kwakuvumilia makonde ya mpinzani wakati yeye apigi na akipiga anakua kachelewa.
Kwenye ilo pambano alitakiwa kubadilika mapema kwa kumpiga mpinzani wake body bunch zakutosha badala yakufocus tu kutaka kupiga kichwa wakati mpinzani wake alishaonyesha ataki amsogelee.Mwili anao,nguvu anazo anachotakiwa ni kubadilika uchezaji wake.Akafanyie kazi mapungufu yake atafika mbali.