Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?
Ulifanya kosa na nani??huo ndo unafiki.ungeleta wewe wabunge 70+ bila lowasa??Nikiwa mkweli CHADEMA tulifanya kosa kubwa sana kumpokea LOWASA mwaka 2015.
Na hapo ndipo kosa lilipo anzia hata kusababisha mtikisiko ndani ya chama na uongozi wa juu.
Ni nadharia mfu hizo.aliyetuwekea misingi ya upendo na kuruhusu siasa safi ni kikwete.yule mwizi wa kura na kununua/kupiga risasi wapinzani ndo aliharibu.wasiojulikana,kesi Kwa wapinzani etc etc etc.unategemea tena upinzani uwe na nguvu??Imeshindwa kuwa na kundi mahsusi. Inataka au inadhani iko kama CCM. kwa siasa za vyama vingi hasa unapokuwa new entrant hauwezi kuwa sawa na old grand party. CUF NA SASA ACTVWAZALENDO zinanguvu sana katika kakikundi kao. CHADEMA ichague ubara na Ukristo itafika mbali. Wao wajikite hapo. Lkn hizi mambo za kujifanya ni wa kila pande na kila mtu hawataweza. Wao wanatakiwa walenge kukamata Bunge kwa kura za Wakristo. Hawa waisalam wa Bara watagawanyika kati ya CCM, CUF, ACT
Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?
Nyerere aliwaachia ccm utaratibu unaitwa Tujisahihishe uko Chadema ni kosa kubwa kukubali makosa yenu na kujisahihisha uko kumejaa malaika ambao ni kina mbowe lissu lema mnyika hao hawajawai kufanya makosa.Ulifanya kosa na nani??huo ndo unafiki.ungeleta wewe wabunge 70+ bila lowasa??
Huu moto wa sasa ulivyo mkali acha tu watafute faraja za namna hiiHuyu anayesema Chadema haina mvuto simuelewi kabisaa, haina mvuto vipi wakati kauli moja tu ya Mbowe lumumba wote wanaanza kuhangaika kuitungia majibu...
Hawana mvuto vipi, wakati kauli moja tu ya Lissu kumumba wanaanza kulua Lissu hana shukrani kwasababu alipelekewa juice na Samia akiwa hospitali?
Chadema haina mvuto vipi, ikiwa kipindi cha Heche kuuchambua ule mkataba wa hovyo wa bandari kilizuiwa kurushwa hewani?
Sikilizeni nyie, mmeshakuwa watu wazima, acheni kuishi kwa kujidanganya kama watoto wadogo.
Kuwa mkweli!Huyu anayesema Chadema haina mvuto simuelewi kabisaa, haina mvuto vipi wakati kauli moja tu ya Mbowe lumumba wote wanaanza kuhangaika kuitungia majibu...
Hawana mvuto vipi, wakati kauli moja tu ya Lissu kumumba wanaanza kulua Lissu hana shukrani kwasababu alipelekewa juice na Samia akiwa hospitali?
Chadema haina mvuto vipi, ikiwa kipindi cha Heche kuuchambua ule mkataba wa hovyo wa bandari kilizuiwa kurushwa hewani?
Sikilizeni nyie, mmeshakuwa watu wazima sasa, hebu wacheni kuishi kwa kujidanganya kama watoto wadogo.
Nani awe mkweli kati yetu? au ulikufa 2006 ndio umefufuka asubuhi hii?!Kuwa mkweli!
Huyu anayesema Chadema haina mvuto simuelewi kabisaa ...
Chadema haina mvuto vipi, wakati kauli moja tu ya Mbowe lumumba wote wanaanza kuhangaika kuitungia majibu ya uongo..
Hawana mvuto vipi, wakati kauli moja tu ya Lissu lumumba wanaanza kulia Lissu hana shukrani, eti kwasababu alipelekewa juice na Samia akiwa hospitali?
Chadema haina mvuto vipi, ikiwa kipindi cha Heche kuuchambua ule mkataba wa hovyo wa bandari kilizuiwa kurushwa hewani?
Sikilizeni nyie, mmeshakuwa watu wazima sasa, hebu wacheni kuishi kwa kujidanganya kama watoto wadogo.
CHADEMA haijakosa mvuto hata kidogo,mikutano yao inavuta watu wengi sana.
CCM inatumia nguvu kubwa na rasilimali nyingi kuandaa mikutano yake.Mfano Mkutano wa Arusha magari yalikodishwa kusomba sehemu mbali mbali kama Karatu,Monduli,Longido,Namanga,Babati,Singida,Rombo,Machame,Kia,Korogwe,Simanjiro......Huo ulikuwa mkutano wa Arusha!.Waalimu wanalazimishwa kuhudhuria mikutano
CHADEMA wanafanya mikutano Bhukombe wananchi wanajaa bila kusombwa na magari.Sugu anafanya mikutano Mbarari anapata nyomi ya kutosha.
CHADEMA ipo imara kwasababu wanasimamia ajenda za wananchj.
Upinzani halisi ulipaswa kuonekana wakati wa Mwendazake. Ule wa kikwete na huu wa mama ni friendly fire. TL aliweza kusimama muda wote. Mpinzani gani anaingia makubaliano ya kutokipinga chama tawala? Kichekesho sana. Yaaani unataka kuniambia Msigwa na Freeman ni wapinzani ? Wale ni Wapenzi wa CCM. TOFAUTISHA UPINZANI NA UPENZINi nadharia mfu hizo.aliyetuwekea misingi ya upendo na kuruhusu siasa safi ni kikwete.yule mwizi wa kura na kununua/kupiga risasi wapinzani ndo aliharibu.wasiojulikana,kesi Kwa wapinzani etc etc etc.unategemea tena upinzani uwe na nguvu??
Upinzani huwa hauletwi na chama kilichoko madarakani na wala chma hicho huwa hakishirikiani na upinzani wowoete. Wakati wa Kikwete kulikuwa na kashfa nyingi sana kuanzia na Richmond wakati CHADEMA ilikuwa msitali wa mbele sana kuziweka kashfa hizo hadaharani kwa vielelezo. Magufuli alichukiwa na CHADEMA kwa sababu ya kufuta maovu yote ya Kikwete ambayo ndiyo iliyokuwa kete yao kuu wakati huo. Walishindwa kutafuta njia mbadala wa ushindani wakitaka kuendelea kuegemea lawama kwa CCM ya Kitwete ambazo hazikuwapo tena.Ni nadharia mfu hizo.aliyetuwekea misingi ya upendo na kuruhusu siasa safi ni kikwete.yule mwizi wa kura na kununua/kupiga risasi wapinzani ndo aliharibu.wasiojulikana,kesi Kwa wapinzani etc etc etc.unategemea tena upinzani uwe na nguvu??