Nini kilisababisha CHADEMA ikakosa mvuto?


Hapa jiwe hayupo ila watu wamewapotezea
 
Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?

Hizi nyomi za Chadema zimewawehushisha CCM hadi wanajitungia uongo tu sasa
 
Chadema hakuna siasa, kuna ugaidi. Hata jina "red brigade" lilinatokana na kikundi cha kigaidi.

Chadema ni wa kuwaogopa kama ukoma na kukaa nao mbali kwa kila mpenda amani.

Kila Muislam akae mbali sana na chadema, kujiweka karibu na chadema ni kujitakia balaa, hususan kwa Waislam.
 
Wamechoma gari lao huko Choto na kusingizia wasiojulikana ili wapate huruma😂
 
WEWE ni mpumbavu sana, Uislam na CHADEMA vinahusianaje?? WEWE ni mjinga
 
Uzinzi umejaa sana MACHADEMA ndio maana imekufa
 
Taahira mkubwa wewe
 
Kuwa mkweli!
1)Mawakala wanaowakilisha vyama vya siasa wako huru kiasi gani pindi wanapoviwakilisha vyama vyao kwenye chaguzi?

2) pamoja na mazuri mengi ya Mh Magu,lilipokuja swala la uchaguzi,hapakuwa na uhuru na uwazi wa kutosha kwa vyama vya upinzani. Hakuwa na mswalie mtume kwenye chaguzi. Hata wenzie wa chama tawala walimpendea hapo.

Hii ilipelekea vyama vya upinzani kudhoofishwa sio KWA natural death.

Ila ungekuwa uchaguzi wa huru na haki,wapinzani hata kama wangeshindwa,sio KWA magepu take makubwa
 
Magufuli alikufa miaka mitatu iliyopita. Angalia mahudhurio ya mikutano ya CHADEMA leo. Hakuna mwamko wowote. Hata wakati wa uchaguzi wa 2020, CCM ilikuwa inamwamkoa sana kuliko CHADEMA. Pamoja na visingizio vyte, ni wazi kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 CHADEMA ilikuwa imeshapoteza mvuto. Kampeini za Lissu zilikuwa ni dhidi ya Magufuli badala ya namna ya kuwahudumia watu. Leo Magufuli hauyo, amekuwa hana sera anarukia kila jambo.
 
Huu moto wa sasa ulivyo mkali acha tu watafute faraja za namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wanatafuta faraja tupu.
Sasa hivi hoja za bandari zimeshindwa kujibiwa wameanza kulia Lia eti mama anatukanwa na ukiwauliza katukanwa wapi? Hawana jibu maana kuita watu wezi sio tusi.
Mikutano ya CCM tumeona haihudhuriwi kwa hiari bali hadi wasombwe wakati Chadema inajaa kwa hiari tena bila ya kuogopa vitisho, halafu anakuja mzee Kichuguu sijui kala maharage ya wapi anasema Chadema haina mvuto?
Watu wanakuja na hoja nzito zinazo igusa jamii na kukubalika wakoseje mvuto?

 
Mbinyo wa serikali ya Magufuli ulioenda sambamba na hatua kali dhidi yao mfano kufunguliwa kesi kila kukicha, wabunge wao kuhamia Ccm, zuio la mikutano ya kisiasa kwa miaka 5.
Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?

JokaKuu zitto junior brazaj Pascal Mayalla
 
Watu kama hawana mvuto waachwe wafe naturally.
KWA maoni yako wewe,Uchaguzi mkuu wa 2020,serikali za mitaa 2019 ilikuwa fair kiasi gani kulinganisha na 2015 ,2014. 2010,2009 respectively?
 
Ila ndio kipindi mlivuna kwa wingi wabunge wengi na kura za Urais zilizovuja rekodi.

Tindo JokaKuu imhotep zitto junior
CDM haikupata kura nyingi wala wawakilishi wengi kwa sababu ya ujio wa Lowassa. Hilo nalikataa kila siku huku, na sababu naziweka mara zote. Tena naona kama Lowassa alichangia CDM kupata kura chache kwa ujio wake.
 
Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?

Imekosa mvuto kwa ushahidi na utafiti upi?
 
CDM haikupata kura nyingi wala wawakilishi wengi kwa sababu ya ukioa wa Lowassa. Hilo nalikataa kila siku huku, na sababu naziweka mara zote. Tena naona kama Lowassa alichangia CDM kupata kura chache kwa ujio wake.
Upepo wa Lowassa uliibeba CDM, japo alikuwa 'liability' tu, ila kipindi kile aliwasaidia kiasi chake.

Pascal Mayalla
 
Upepo wa Lowassa uliibeba CDM, japo alikuwa 'liability' tu, ila kipindi kile aliwasaidia kiasi chake.

Pascal Mayalla
Kwa taarifa yako Lowassa ndio alitembelea upepo wa CDM, lakini kwa uchambuzi wa CCM ambao uko kiupotoshaji, wanasema ni Lowassa ndio aliwabeba CDM!

Iko hivi, baada ya uchaguzi wa 2010 kuelekea 2015, cdm ndio chama kilichofanya kazi ya kisiasa kuliko chama chochote ikiwemo CCM. Cdm ndio kilichopandisha hamasa ya wananchi kwenye siasa kwa kufanya operation mbalimbali nchini. Na hata kujiandikisha kupiga kura cdm ndio walihamasisha wapiga kura wengi kujiandikisha. Hata kitambulisho cha kura kufikia kuitwa kichinjio, ilikuwa ni kwakuwa tulijua CCM watampitisha fisadi Lowassa ili tumchinje. Wakati hamasa yote hiyo ikifanyika Lowassa hakuwepo CDM. Kama Lowassa alikuwa na mvuto huo sio cdm, angeenda TLP tuone hiyo nguvu yake.

Na kama Lowassa aliweza kuleta kura nyingi vile na sio cdm kama chama akiwa na miezi miwili, alileta viti vingapi akiwa na miaka miwili? Ni wapi unaweza kupata kura zote zile kwa kusema "elimu, elimu, elimu"? Ilaaniwe kamati kuu ya CDM kwa kufanya upuuzi ule wa kumpokea huyo mzee tapeli wa kisiasa, na kumpa nafasi adhimu vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…