Nini kilisababisha hii????

Nini kilisababisha hii????

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Hivi huwa saa nyingine nakaa peke yangu najirudisha nyuma kima wazo nawazua nalinganisha na baki nikiumiza kichwa kwanza niliwahi kujiuliza nini kimebadrika katika maisha wakati ule na wasasa wakati mimi niyuleyule??
Najiuliza nini kilikuwa kina sababisha watu wazungukezunguke wakipita huko nakule navibarua mara posta kwa kumsaka demu unaye kaanaye mtaa mmoja hasa nini kilisababisha?? ukitongoza demu lazima upitie njia ya mbali wakati yamkato ilikuwepo badala yakumwambianakupenda kama sasahivi tuonavyo fanya justone hour unaye guest??
Je ulikuwa ushamba umetutawala??
Au ulikuwa uwoga umetutawala??
Au ulikuwa utamaduni umetutawala??
Au niujinga wetu na wanawake walikuwa wanatucheka??

MCHANGO WENU TAFADHALI:croc:
 
Back
Top Bottom