Tatizo lilikuwa NI CCM, tatizo la pili uroho wa madaraka wa Samuel Sitta RIH.Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa
1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane?
3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata katiba MPYA?
4. je inawezekana tukapata katiba mpya kabla ya mwaka 2027?
Kwa sababu ya wale chawa vichaa waliomshambulia mzee champion wa katiba pendekezwa ya wananchi🤔Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa.
1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane?
3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata katiba MPYA?
4. Je inawezekana tukapata katiba mpya kabla ya mwaka 2027?
Kama Rais angetaka ipatikane Katiba ile ni nani angeweza kumpinga ?? !!Tatizo lilikuwa NI CCM, tatizo la pili uroho wa madaraka wa Samuel Sitta RIH.
Samuel Sitta kama Spika badala ya kusimamia Rasimu ya Warioba akawa anaangalia tumbo lake akiwa kichwani ana mawazo ya kugombea Urais baada ya Kikwete anataka katiba hiyo na nafuu kwake shetani kabisa.
Hasara tuliyoingia ni pesa nyingi tu ila hasara ni kawaida yetu wala haiumi.
Samuel Sitta na wahuni wenzake walichakachuwa maoni ya wananchi yaliyomo kwenye Rasimu ya Warioba.Kama Rais angetaka ipatikane Katiba ile ni nani angeweza kumpinga ?? !!
Samwel Sitta ??!
I don’t believe that !!
Au kipindi kile Katiba ilikuwa ni nyingine sio hii iliyopo mpaka sasa ??!
kwangu mimi inaniumaTatizo lilikuwa NI CCM, tatizo la pili uroho wa madaraka wa Samuel Sitta RIH.
Samuel Sitta kama Spika badala ya kusimamia Rasimu ya Warioba akawa anaangalia tumbo lake akiwa kichwani ana mawazo ya kugombea Urais baada ya Kikwete anataka katiba hiyo na nafuu kwake shetani kabisa.
Hasara tuliyoingia ni pesa nyingi tu ila hasara ni kawaida yetu wala haiumi.
ubinafsi, tamaa na uchu wa uongozi uongozi miongoni mwa viongozi wa kisiasa. Kila moja alitamani ama chama chake ama jina lake litajwe kwenye katiba 😀Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa.
1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane?
3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata katiba MPYA?
4. Je inawezekana tukapata katiba mpya kabla ya mwaka 2027?
Na Rais akaukubali huo uchakachuaji !!Samuel Sitta na wahuni wenzake walichakachuwa maoni ya wananchi yaliyomo kwenye Rasimu ya Warioba.
Iko vile bandugu. ! 😎Kulikuwa na shauku kubwa ya kupatikana Katiba mpya nakumbuka Hata Mimi nilisimamisha kazi nikapeleka maoni kwa wakusanya maoni .
Ilivyokuja kusimamishwa ilikuwa masikitiko .
Muda haukutosha awamu ya JK, ikawekwa kwenye ilani ya JPM, JPM akasema katiba sio kipaumbele changu!. Sisi wa kuhoji tulihoji Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa.
1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane?
haikupangiwa budget ya kuikamilisha due to kukosekana kwa a Political will!.2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane?
pesa zote za mchakato wa katiba, billions and billions of money, zimepotea3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata katiba MPYA?
Tunaweza ila itakuwa ni bora katiba, kama tunataka katiba bora, we need, time, money, resouses and organisation Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio4. Je inawezekana tukapata katiba mpya kabla ya mwaka 2027?