DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Juzi wakati watu wanajadiliana ripoti ya mapato na makato ya mechi ya Simba na Yanga, kuna uzi nilitoa comment nikasema ile ripoti imeletwa maksudi kuiathiri Simba. Kuna mtu akanijibu kitu nikamwambia, asubiri mahudhurio ya mechi na Wydad.
uni (mashabiki wamenunua sana tiketi)
- Uchaguzi wa Mgeni Rasmi
- Sababu nyinginezo (zitaje)
Swali la msingi ni hilo.We ulienda uwanjani? Tuanzie hapo
Niko nje ya mjiWe ulienda uwanjani? Tuanzie hapo
Akijibu nitag Mkuu.We ulienda uwanjani? Tuanzie hapo
Ni vizuri umekuwa muwazi. Kuna cha kujifunza hapa inabidi kusapoti timu yako no mara waaNo 3, hata kwangu sikuenda kisa ni hivyo
Hapanaa mie match nayoona sina matumaini huwa siendi uwanjaniNi vizuri umekuwa muwazi. Kuna cha kujifunza hapa inabidi kusapoti timu yako no mara waa
ZoteJuzi wakati watu wanajadiliana ripoti ya mapato na makato ya mechi ya Simba na Yanga, kuna uzi nilitoa comment nikasema ile ripoti imeletwa maksudi kuiathiri Simba. Kuna mtu akanijibu kitu nikamwambia, asubiri mahudhurio ya mechi
Nadhani kuna cha kujifunza katika hili. Niliona hata kampeni za kuhamasisha zilianza halafu zikapoa, inawezekana walipata hayo maoni huko ground ila maamuzi yalichelewa kufanyika.Hali ya hewa, wengine walinunua tiketi wakashindwa kufika uwanjani.
Pili na tickets za bei ya chini ziliuzwa 5,000 (hiki ni kiwango kikubwa hasa ukiangalia na uzito wa mechi yenyewe)
Ilifaa waweke standard ile ile ya 3,000 kutokana na pilika pilika za sikukuu watu wengi walitoka out na familia zao ku spend sikukuu.
Hivyo kwa gharama ya 3,000 ingeweza kurahisisha kwa namna moja au nyingine familia ziweze ku-afford gharama kwa idadi ya watoto walionao.