Nini kilisababisha ukaamua kuondoka kwenu au kwa ndugu na kwenda kujitegemea?

Nini kilisababisha ukaamua kuondoka kwenu au kwa ndugu na kwenda kujitegemea?

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Katika maisha kila mtu ana stori yake kuhusu hatua aliyofikia au iliyofanya akaamua kuishia maisha yake. Mimi niliondoka nyumbani nikiwa na miaka 20 nikiwa namalizia Chuo. Na sababu ilikuwa tu kutaka kuwa huru na maisha yangu na kutofuatiliwa na wazazi kuhusu mambo yangu! Especially (Videmu demu).

But, katika maamuzi ninayojivunia hadi leo ni kuondoka nyumbani mapema. Otherwise ningekuwa mzembe sana na huenda nisingekuwa na maisha haya niliyonayo leo.

Tushirikishe hapa nini kilikutoa kwenu ukaamua kwenda kuchapika mtaani?
 
Back
Top Bottom