Nini kilitokea na nani alizima vita isitokee kati ya TANZANIA na KENYA?


wenyewe watujuze,kumbe mambo ni mengi sana.
 
Mbona kama leo vichwa vyenu viko kivitavita tu? Wewe umeshasikia kweli sauti ya bomu. Oohoo!
 
...mkuu kiserikali...hakukuwa na chokochoko baina yetu na kenya hata ktk kipindi hicho...lkn kulikuwa na hali ya kutoaminiana...pia nchi zetu zote tatu, zilikuwa ni kama ziko ktk majuto kutokana na kuvunjika e.a.c..kila nchi ni kama ilipoteza kitu ktk uchumi wake, ingawa tanzania ikionekana zaidi kutokana na ukweli kwamba ilikuwa imeji"commit" mno ktk jumuia...lkn pia uongozi uliokuwepo madarakani wakati huo ulikuwa makini sana ktk kuhakikisha mazingira bora kiusalama na jirani zetu...nyerere akihofia zaidi mpaka wetu upande wa malawi, kwa hofu ya banda kutumiwa na makaburu kutuhujumu kijeshi kutokana na ushiriki wetu kuwasaidia wapigania uhuru wa maeneo yote ya africa ya kusini...kitu muhimu...nadhani kk mleta thread umefanya kitu kizuri na cha usomi uliotukuka,kuuliza vitu vyenye utata ktk hadhara ya namna hii..na nadhani sisi sote tutafaidika na kila kitakachochangiwa...god bless u home boy!
 
the only time i heard something like that was after the war with Iddi Amin na askari weyu wakiwa na morali wa juu wa vita baada ya kumpiga nduli na kukusanya kusanya masalia on the way, hivyo walijua masali masalia zaidi yatapatikana kuelekea mombasa na nairobi, usa ndio ikaishauri kenya kuondoa majeshi mpakani kuonyesha hali ya kutotaka vita.
 

alaa kumbe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…