Nini Kiliwapata Dinosaurs

Inasemekana hao wanyama walikua na brain ndogo na hisia zao zilikua mbali, walikua wanawezakua wanaungua na wasihisi chochote wakijakushtuka moto upo mgongoni na too late wakawa wanakufa sana.
Moto umegunduliwa lin babuu
 
Dinosaurs walililiwa na warusi miaka hiyo ya 110, wakati huo Putin akiwa kwenye umbo la kenge
 
Hivyo inadhaniwa kimondo hicho walichokipa jina la Chicxulub
Aisee..
Na uzee wangu huu nilikuwa sijui, ikabidi nihakiki na mtoto wangu wa miaka sita mtaalamu wa sayari na vimondo vya anga za juu hilo jina la kimondo.. Akanijibu..chuksulub...
Nimekubali ....
 
Hizi fix za Dino. Yaani wao tu ndo wapotee duniani....wengine wote wabaki. Ni fix tu za kuishi miaka millions ago....hamna ukweli wowote. Fictions wanataka watu waziamini. Kama za dragons... Fix tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…