Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Umenikumbusha huyu wa karibu na Lugalo dereva wake mmoja akijulikana Michael (RIP) na wa kule Frelimo mwanae nilisoma nae.Kwacha ilitufaa sana baada ya kuondokana na RailwayKwacha still zpo wakuu mkoan iringa. Route za pori znafaida kubwa kuliko za kwenda ubungo.ila kiswele and the mentioned above naomba nikili RIP. NB: mmliki wa kwacha alikuwa babu yangu kafariki miaka 2 iliyopita ( ABEID CHARAMILA and group...)
M sleeping, Masia, Tawaqal, Sumry, Matema etc.
Kumbe Makundi ndo BM aisee nilikuwa sijui..Abood, dar express, ngorika ndiyo mabasi ninayoyakumbuka yamedumu kwenye game 30+ yrs. Hood naona kama anapotea, kampuni nyingine zilibadilishwa majina na watoto baada ya wazazi kufariki au kuchoka, mfano BM kulikuwa na basi linaitwa makundi(early 90s) dar Moro.
(Mswahili pekee enzi hizo), Kilimanjaro express ni mtoto wa sawaya express enzi hizo. Akina Osaka ni watoto wa ngorika. Kusini sina kumbukumbu kama kina matema beach, kiswele, nk waliacha legacy.