Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Naipenda sana na altenative huwa nakunywa liquoHii kinywaji ni imported, from Kenya nadhani, by Serengeti Breweries Limited. RRP 3,000/= TZS
Ile kitu ilikuwa jibu murua kwa huyu amateur au ungepata ile smirn off black iceNimeenda supermarket Mcity ambapo niliiona mara ya mwisho nimeikosa. Haipo mkuu!!
Desperados nimeonja kufuata ushauri wa Extrovert ila nadhani hutaiweza. Bado suluhu yako inatafutwa
Ameshatest ameona sitawezaIle kitu ilikuwa jibu murua kwa huyu amateur au ungepata ile smirn off black ice
Heheh kwahio umekataa
hizi mambo zipo ulimwenguni kote, ingekuwa kama unavyowaza wewe sasa hivi wengine wangekuwa wanaishi sayari nyingine. Relax!Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo
Fanyeni kazi aiseee
Hakikisha unaijaribu hii Saint Anne
Niletee basiHakikisha unaijaribu hii Saint Anne
Kwa kuiona tu siwezi kunywa.
@Extrovert atakuja nayo usijaliNiletee basi
Extrovert umesikia?@Extrovert atakuja nayo usijali
Inatisha vipi iko kama Sprite tu full masukari na malimaoNiletee basi
MmhInatisha vipi iko kama Sprite tu full masukari na malimao
Hii party saint anne anatakiwa ahusike😂 ataipenda tu! Atake asitake
Hio ni soda iliochangamka usiogope haina uchungu ina ladha kama nanasi tu!Mmh
Inatisha,
Nahisi itakuwa chungu.