Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

uzi wa walevi huu
 
Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo


Fanyeni kazi aiseee
Sio kila mda work tu bro.kuna mda wa ku relax after work.By the way mi mwenyew ni mtu wa liquor.But ratiba zangu nazimudu sana
 
Vp smirnoff 007?
 
Wakuu, bado hii bidhaa adhimu imeendelea kuwa adimu!?
Unfortunately yes mkuu.

Ila leo nimeona kitu kama carton ya smirnoff black ice ya kopo kwenye picha ambayo mtu alipost somewhere hapa JF. Nilipomhoji hakujibu.

Imenipa matumaini kuwa huenda kwenye supermarkets kubwa itakuwepo ya kopo.

Nitafuatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…