Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
The great park tabata
Nakubaliana na wewe, mana kuna maziwa mgando yalikuwa yanatoka uko, nilikuwa nayapenda kweli ila sasa hayapo tena yamebaki ya bongo kama yamechachushwa kwenye kibuyu.Bidhaa nyingi kutoka kenya zimeadkmika sana sababu serikali imeweka sheria mpya za mabadiliko ya kodi kwa hawa wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa nchini hivyo wengi wamekimbia
Mkuu mbona we huwa unafakamia k za kizungu sisi hatusemiWabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo
Fanyeni kazi aiseee
Jikite kwenye mada wewe mkaldayoMkuu mbona we huwa unafakamia k za kizungu sisi hatusemi
Kama nakuona unavyocheza mziki kilevi dadake, unakatikia pembeni pembeni kama kaa (mdudu wa baharini) uku kalio umeliingiza ndani mgongo umeutoa nje😂😂😂😂mimi nikilewa ndo usiniguse kbsaa...hahaa sipend kbs!napenda kucheza music na kulala tu! lol
Hata pale club ya wazee haipo? Au unazungumzia tabata hipi.Hazipo mkuuu hazipo pale!
In fact viwanja vyote Tabata haipatikani.
Kama nakuona unavyocheza mziki kilevi dadake, unakatikia pembeni pembeni kama kaa (mdudu wa baharini) uku kalio umeliingiza ndani mgongo umeutoa nje😂😂😂😂
Inapendeza kwa kweli unaenjoy hadi basi, hata mimi nina hobby na hiyo mambo ingawa hizi kazi za watu na aina ya watu ninaokutana nao inafanya inafanya niwe formal sana hadi inakera ila ningepata watu wa kuji mix, kazi na dawa, hoping ninge enjoy sana.😅😅!like yesternite😊!ah napenda sana kucheza aisee
Inapendeza kwa kweli unaenjoy hadi basi, hata mimi nina hobby na hiyo mambo ingawa hizi kazi za watu na aina ya watu ninaokutana nao inafanya inafanya niwe formal sana hadi inakera ila ningepata watu wa kuji mix, kazi na dawa, hoping ninge enjoy sana.
Ha haaaJikite kwenye mada wewe mkaldayo
RRP 3,000/= TZSBei yake sasa ni gani mkuu?
Ni X mkuu siwezi jua ata anatumia kipi kwa sasa ila tu namkumbuka nikisikia ilo neno SmirnoffAnakunywa nini sasa baada ya kuadimika hiki
Tunashukuru Serikali ya awamu ya tano kuturudishia hiki kinywaji pendwa!
Bila nyie kisingerudi kabisa!
Ndo Bei zake hizo 3000-4000 inacheza hapo.Kinapatikana kwa bei gani mkuu maana kila mahali wanasema kwamba 3500/=