Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Wakuu wale walevi lkn pombe na beer zinatofati kwani. Hivi kwa kidhungu pombe ni alcohol sio?
Basi alcohol na beer tofauti nn. Je si utalewa ukinywa chochote kati ya hiki sio?
Bia (beer) ni aina mojawapo kati ya aina nyingi za pombe (alcohol)

Aina za pombe ni kama beer, cider, whiskey, gin, vodka, spirit, brandy, wine nk

Pia kuna bia zisizo na kilevi (non alcoholic beer)
 
Hii kinywaji ni imported, from Kenya nadhani, by Serengeti Breweries Limited. RRP 3,000/= TZS

Ni alternative nzuri sana kwa wale wanaokunywa pombe ila hawanywi beer. Hii kitu ni lemonade flavored, toned down vodka. Colourless like water.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walevi
 
Jaribu hizi..if umekosa hizo..au disperado if unapenda vitu vitamu
 
bia (beer) ni aina mojawapo kati ya aina nyingi za pombe (alcohol)

Aina za pombe ni kama beer, cider, whiskey, gin, vodka, spirit, brandy, wine nk

Pia kuna bia zisizo na kilevi (non alcoholic beer)
Nadhani pia hii Smirnoff inakaa kundi moja na kina savana na desperado ni cider
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…