The Whistleblower
JF-Expert Member
- Dec 9, 2022
- 247
- 434
Huna unalojua wewe, hayo makampuni ni Baraka kubwa kwa sababu yametoa umaskini kwa maelfu ya vijana.Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA.
Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo.
Unasema makampuni ya kamari ni laana wakat Vijana wanaobet kwenye kila mkeka wanalipa Kodi wewe je unalipa Nini kwa siku kama mchango kwa Taifa?Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA.
Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo.
Unaweza kuta kuna kijana analipa kodi kubwa serikalini kukuzidi wewe.Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA.
Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo.
Huyo jamaa ni mbumbumbu sana,hajui hata maana ya Laana,anaropoka tuUnasema makampuni ya kamari ni laana wakat Vijana wanaobet kwenye kila mkeka wanalipa Kodi wewe je unalipa Nini kwa siku kama mchango kwa Taifa?