Nini kimeiua Tips Lounge?

Nini kimeiua Tips Lounge?

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
Kwa vijana wa Dar wanajua balaa la Tips ikifika ijumaa. Ni nyomi la kufa mtu plus pisi za hatari.

Sasa jana kwa mara ya pili naenda Tips saa 6 usiku nakuta papo kimya pametulia. Hata parking unapata mlangoni.

Nini kimetokea ghafla hivi? Vibe limeamia wapi party people?
 
Tips ni kiwanja cha watoto wa vyuo dar. Sasa vyuo vimefungwa wanachuo wanaoishi hostels wamerudi makwao geti kali na sitimbi
Kila nikikumbuka ile misululu ya magari parking mpaka karibu na barabarani.

Nakumbuka tena Moet na Hennessy zinavyoshushwa.

Nataman nikuamini wale ni wanafunzi ila nafsi inakataa.

Alafu situation iliyopo ukifika ni tofauti na unachoeleza. Tatizo sio wateja wamekata ila ni kama huduma zimesitishwa.
 
Back
Top Bottom