music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Watu hawaogopi corona.Corona sio mchezo
Upo sahihi kabisa.Tips ni kiwanja cha watoto wa vyuo dar. Sasa vyuo vimefungwa wanachuo wanaoishi hostels wamerudi makwao geti kali na sitimbi
Unamjua mwenye nayo lakini?...ama unaongea tu kufurahisha genge..kama wewe mtu wa bia humkwepi, unampelekea kwenye kiwanja chake kingine maarufu sana fyiBiashara za Waswahili nyingi ndivyo zilivyo..huwa hawawezi kumaintain.
Kila nikikumbuka ile misululu ya magari parking mpaka karibu na barabarani.Tips ni kiwanja cha watoto wa vyuo dar. Sasa vyuo vimefungwa wanachuo wanaoishi hostels wamerudi makwao geti kali na sitimbi
January Makamba. Ndio mwenye Kidimbwi pia.Unamjua mwenye nayo lakini?...ama unaongea tu kufurahisha genge..kama wewe mtu wa bia humkwepi, unampelekea kwenye kiwanja chake kingine maarufu sana fyi
Hivi kwetu pazuri iliishiaga wapi , wahuni walihama paleSasa hivi huku Tabata kitamba cheupe kipo on fire
Tatizo la kitambaa cheupe kuna wahuni wengi wanaleta usela kwenye starehe.Sasa hivi huku Tabata kitamba cheupe kipo on fire
Hapana na sina mpango.Umepata chanjo kwanza mkuu
Masharti ya mganga...!Kwa vijana wa Dar wanajua balaa la Tips ikifika ijumaa. Ni nyomi la kufa mtu plus pisi za hatari.
Sasa jana kwa mara ya pili naenda Tips saa 6 usiku nakuta papo kimya pametulia. Hata parking unapata mlangoni.
Nini kimetokea ghafla hivi?
Vibe limeamia wapi party people?
π³π³π³π³π³π³Masharti ya mganga...!