Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wana ndugu leo nataka tumdadavue huyu mchekeahaji kutoka Kenya,Ndg Erick Omondi .
Huyu jamaa kwa kweli huwa nashindwa kumuelewa ,hivi kwa nini anapenda kutufatilia fatilia sana Watz na sio raia wa nchini kwake Kenya au mataifa mengine?
Yaani jamaa kila kichekesho anachokitoa kinauhusiana na Watz
Wasanii wa Tz hasa WCB wakitoa wimbo tu ,huyo kashaudaka na anaufanyia cover ,ila sijawahi kuona akifanya cover kwa nyimbo za mataifa mengine wala kutoka nchini kwake Kenya .
Halafu huyu jamaa hivi ina maana kutoa kichekesho bila kumuigizia mtu mwingine hawezi au?
Kwa kweli huwa kananikera sana haka kajamaa