Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hata mimi nimeshindwa kumuelewa mleta mada.Show zote unazoangalia ni alizofanyia Tanzania,sasa yupo tanzania unataka aongelee watu wa kenya unawajua!?
Acha upunguani kijana, kila video anayoituma IG ime base kwa WaTZ pekee ni chache sana ambazo hazija base kwa watz.Show zote unazoangalia ni alizofanyia Tanzania,sasa yupo tanzania unataka aongelee watu wa kenya unawajua!?
Nje ya TZ ni chache sana ,95% ya vichekesho vyake vinahusisha Watz.Haina tatizo, na jamaa huwa anaonesha ana roho nzuri kwa Wabongo
Mbona alishawaponda wanamuziki wa Kenya kuwa nyimbo zao hazipo romantic kabisa kama unakumbuka wakati wa Zari All White party.
Mimi sioni tatizo lake...na anawazidi kabisa mangumbaru kama Steve sisiemu Nyerere na yule kupatana.com.
Wana ndugu leo nataka tumdadavue huyu mchekeahaji kutoka Kenya,Ndg Erick Omondi .
Huyu jamaa kwa kweli huwa nashindwa kumuelewa ,hivi kwa nini anapenda kutufatilia fatilia sana Watz na sio raia wa nchini kwake Kenya au mataifa mengine?
Yaani jamaa kila kichekesho anachokitoa kinauhusiana na Watz
Wasanii wa Tz hasa WCB wakitoa wimbo tu ,huyo kashaudaka na anaufanyia cover ,ila sijawahi kuona akifanya cover kwa nyimbo za mataifa mengine wala kutoka nchini kwake Kenya .
Halafu huyu jamaa hivi ina maana kutoa kichekesho bila kumuigizia mtu mwingine hawezi au?
Kwa kweli huwa kananikera sana haka kajamaa
View attachment 533760
Churchill show yupo dogo mmoja pale anaitwa David the student namuelewa sana, soon atakuja kuwa na jina kubwa sana yule chalii Mkuu.Huyu alikuwa Churchill Show baadaye akaamua kujitenga na kujitegemea.
Ni mchekeshaji mzuri tu ila kwa miaka ya karibuni amekosa ubunifu.
Sasa yeye amegeuka kuwa ni opportunist tu.