Upo Rhein?Mzee wa Dubai teh teh.. Kuna gazeti la Rheinische Zeitung la ujerumani nalipitia hapa ngoja nije nirudi kusoma maoni ya wadau
Aumwacho sijui ila nasikia yupo huko.Anaumwa nn??
Mkuu mbona umebadili avatarAumwacho sijui ila nasikia yupo huko.
Huwenda mtaro
Mkuu mbona umebadili avatar
Ulitishiwa na watu wasiojulikana au ulitishiwa na one ya tatu@ccnp engineerIle nilitishiwa niitoe nikaona isiwe taabu.
Nini shida ilikuwa?Mbona kapona!