Nini kimemkumba msanii Omy dimpoz??

Katika haya maisha usijeleta dharau wala kiburi popote na kwa yoyote....

Waweza ringia uzuri wa sura ila ukashangaa siku ikatokea ajali mbaya ikaharibu huo mwili na uzuri wote ukatoweka.....

Au ukaamka na ugonjwa ambao ukaharibu mwili wako wote.....kumbuka magonjwa mapya yanakuja kila uchao....

Hebu ifike wakati tuwe waungwana.....lets humble our selves.... Tujishushe.....

Ongea na binadamu wote na uwatreate the same....wape heshima wale waokuheshimu na waepuke wanaokudharau.......

Ishi na kila mtu kwa utu.......!

Pendeka unapopendwa.....acha usaliti na dharau kwa wale waojitoa kwako.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tabia ya kiburi na majivuno sijui huwa inatokana na nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…