Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
RRONDO anasema sio haki kupiga mwanamke inaonekana hajawahi kumbana na kadhia za hao viumbe.Kweli kabisa ,🤣
Sasa Kenya na arusha si ndugu mabangeIla pia wadada wa kenya kama wamevurugwa flani hivi🤔 wana katabia kakujiamini kupita kiasi kama wa Arusha 🤔
Binafsi pia siungi mkono upigaji mkuu, ukiona unazinguliwa ujue tu ameshakusoma , na kuna pahala umelegeza 🤔RRONDO anasema sio haki kupiga mwanamke inaonekana hajawahi kumbana na kadhia za hao viumbe.
Wanaume huwa tunavumilia mengi Sana Sana kutoka kwa hawa viumbe la sivyo unaeza piga uue
Wanawake wa ckuiz ni vichwa ngumu Sana mkuu sio kama wa zamaniBinafsi pia siungi mkono upigaji mkuu, ukiona unazinguliwa ujue tu ameshakusoma , na kuna pahala umelegeza 🤔
Hahaha si alikua na lengo la kuumiza mtu bwashee, lingeumiza mtu malengo yake yangetimia😅Uyo dada kayataka mwenyewe. Kwanini unarusha jiwe ungeumiza mtu macho je?
Anajifanya Shoko Shugi,,Wana Wakamtuliza,,Na Hatimaye Mwana Akalitii Tulizo Na Kujiamulia Kufuata Njia Zake...Sasa huyo Jamaa aliyevaa sweta jekundu kilichomfanya akikimbilia ni nini, Acha na yy apewe kichapo, sema kajiona mjinga kweli Yani.
Wanawake ni mama zetu lakini karne na karne laana ya mama itaacha kushika kabisa fikiri ndo ushakua mtu mzima unaambiwa mama ako huyoJe, hakulipa nauli ya boda ? HATA kama hakulipa mbona YEYE NDO mkali kumpiga jiwe boda shida nini. Mpaka wameanza gombana
OkMwanamke akileta ujinga lazima apigwe tu ili akili zimkae Sawa.
Hawa viumbe ukiwaendekeza watakuabisha kwa wanaume wenzako.
I'll never entertain a woman's nonsense in any way whatsoever!
Vipi kuhusu huyo dada kurusha jiwe?Unaunga mkono kupiga wanawake? Ningekuwa hapo ningemzuia huyo jamaa kumpiga huyo dada.
BaelezeeMwanamke akileta ujinga lazima apigwe tu ili akili zimkae Sawa.
Hawa viumbe ukiwaendekeza watakuabisha kwa wanaume wenzako.
I'll never entertain a woman's nonsense in any way whatsoever!