Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

daaaaaaah
 
ujue ommy zamani alikaa karibu na uwaridi..
ndio maana akanukia
sasa sijui yuko team gani lazima apotee...
kabla alikua na chibu ,alifanikiwa sana!!!
saivi naona ana maskendo tu ya upunga
Ua ridi lilimfanya hata Baba Kayla aandamwe na manukato kila aendako!
 
mkuu siwezi kumsikiliza dimpoz.. namfahamu kitambo sana na uwezo wake naujua toka yupo kwa T.I.D top band.. au nitajie hit song tano alizotoa akiwa amesimama peke yake.. jibu ni hakuna.....sio mbaya endelea kumkubali mkuu..
Baadae..
Miss Koikoi..
Ndagushima..
Wanjera..
Achia Body..
 
Tatizo ccm tu.
 
Kama hujasingiziwa wewe ni shoga au unatembea na mke/mume wa mtu au unauza unga au una ukimwi au vyote jua Bado huna jina au pesa au vyote.
Nakuunga mkono kabisa. Wabongo kwa kuwatungia watu uongo hawajambo aisee.

Ukimwambia akupe ushahidi hana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wapili nimepotea nisaidie me sijui aka ya chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…