Omy dimpoz is better artist in Tanzania is among of the best and proudly to have him in our country stop your comparison between diamond and other artists coz everyone got his fans base and style u silly and dumb fan
Omy dimpoz is better artist in Tanzania is among of the best and proudly to have him in our country stop your comparison between diamond and other artists coz everyone got his fans base and style u silly and dumb fan
Mi sio kama raisi wako magufuli auHiki kiingereza iko siku utapigwa we endelea kutania lugha za watu
Magufuli mwenyewe hajui sasa mi nna hasara gani hata nisipojua hicho kizunguHiki kiingereza iko siku utapigwa we endelea kutania lugha za watu
Magufuli mwenyewe hajui sasa mi nna hasara gani hata nisipojua hicho kizungu
Hiki kiingereza iko siku utapigwa we endelea kutania lugha za watu
Ok, Ommy Dimpo is better artist in Tanzania and proudly (In Mpwilo's voice)
Jamaa akisoma hapa atajiona mfupi kama kimba!Afu kingine kikubwa ni kujifanya amekuwa mkubwa sawa na Diamond...
Maana kipindi ni marafiki wakubwa Diamond alikuwa anambeba saana akisafiri kwenda kushoot video wapo nae, mambo mengi sana alikuwa anajifunza kwa Diamond...
Sasa baada ya kuona amekua na kuanza kuvimbiana na Chibu ikawa tatizo, licha ya kupunguza upendo kwa baadhi ya mashabiki, amekosa pia maujanja ya kulishika game vizuri, anaishia anavyofanya hivisasa.. Wanaishia kusikia tu Diamond ananyimbo kaaaali 5 zenye video tayari, 3 zake 2 za kushirikishwa, haya maujanja anayakosa ommy maana watu anaoambatana nao hawampi hizo challenge, anaishia kusema ana album kadhaa kumbe ni nyimbo mbovu..
Tatizo ommy anajisikia mnooo hata ongea yake tu kwenye interview unamuona...alipokuja kujichanganya na wema kumshusha diamond ndio kbsaaaa...akaoe tu atulie na ndoa mziki umemshindaSometimes kujishusha ukakubali kujifunza inasaidia sana. Alipokua karibu na Diamond, akatoa kichupa Ndagushima kilikua poa atleast....
Baada ya hapo ni Wanjera eeeeeeh baaas