Nini kimemkuta Victor Wanyama?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Victor Mugabi Wanyama, ni jina kubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki katika michezo.

Amejizolea umaarufu kama mmoja kati ya viungo bora wakabaji katika EPL kwa misimu kadhaa akiwa na Southampton kisha Spurs. Kila mmoja anajua uwezo mkubwa alionao kiungo huyu kutoka Kenya.

Kwa misimu miwili ya hivi karibuni amekuwa mchezaji wa kuwekwa benchi na kuingia dakika 10 za mwisho za.mchezo. Amekuwa akiwekwa benchi na wachezaji kama Moussa Sissoko, Eric Dier na hata wakati mwingine bwana mdogo kutoka akademi ya Spurs, Harry Winks.

Je, majeraha aliyopata kipindi cha nyuma yamegharimu nafasi yake kikosini? Je hafiti katika mfumo wa kocha Pochetinno? Au ndio uzee ushamkuta? Hivyo anashindwa kuendana na kasi ya ligi?

Karibuni kwa mjadala!
 
Mimi naweza kusema nothing lasts forever

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Wanyama alienda ulaya kwa kudanganya umri, kinachomtokea pale Totenham ,kila akitibiwa anacheza kidogo tena chin ya kiwango, anarud kwenye majeruhi

Wanyama anamika zaid ya 30 lakin passport yake inaonesha yupo kwenye 25-27

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Stupid fish
 
Yale yale ya Essien

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ana shauku ya kumuona Pierre liquid...kuliko kucheza soka lake
 
tehtehtehte.....alijiingiza mambo ya siasa Tanzania...alipewa mtaa/barabara sijui ni ubungo au wapi???!!! (a joke please)
 
Mkuu nakumbuka kuna kipindi wenger alimlilia sanaa sijui iliishia wap

13SEPTEMBER
 
Arudi nyumbani kutambika tu. Baada ya hapo aende tena kazini. Afanye mazoezi kama CR7
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakumbuka kuna kipindi wenger alimlilia sanaa sijui iliishia wap

13SEPTEMBER
Nikipind kile yupo celtic

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…