Nini kimempata Lucas Mwashambwa?

Nini kimempata Lucas Mwashambwa?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?

Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.

Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.

Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?

Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
 
Ametapeliwa mazao yake yote kwa nja ya stakabadhi shambani.
CC;Lucas Mbubujiko Mwashambwa.
 
Hukiona hivyo ujue kuna mambo mawili yanaweza kuwa yamempata kutoka kwa Raia feki .... ama kanyinwa mgao wa nyara za tanganyika au kapata mgao wa hizo nyara hivyo amepata kiburi na jeuri
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?

Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.

Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.

Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?

Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
 
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?

Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.

Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.

Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?

Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
Mwaka unaisha hata watu wa chama hawajamtafuta famasiala nini
 
Ana mitusi ya kutisha huyu chawa anayebubujikwa na machozi ya uchungu kukosea uteuzi.... Alianza kutokuweka namba ya simu lakini Bado anashangaa kizee Cha miaka 98 WASSIRA anateuliwa yeye Hana kazi .... Lucas ni chawa iliyokosa cheo analia ndani Kwa ndani.
mwambieni akifanya mchezo atabubujikwa hadi na 💩💩💩 ccm siyo watu wazuri
 
Hahaha.... Halafu ukute anayetaka kuzibua mtaro ili bubujiko litokee ni mzee Tyson.
Ninamashaka sana na huyu kijana msambwanda ...sijui kama ccm hawata mtafuna msambwanda wake 🍭🍭🍭..makomredi (Top) sisiemu wapo kibao wanagombewa na makada (bottom) kama nini....siku hizi ccm kuna makada wengi kweli kweli yaani siyo hajabu tena kuwaona tena wapo wazi wazi kabisa
 
1739435184097.png

Unachokiona sasa ndio uhalisia, yale ya mwanzo yalikuwa ni maigizo.

Achana na Komredi Lucas Mwashambwa hana baya na mtu, yeye zake ni kutokwa na machozi ya furaha tu.
 
Back
Top Bottom