Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nakupenda mrembo"Hii hoja waache wenye akili waijadili"
"Acheni kunywa pombe mkiwa na njaa"
"Endelea kutukana matusi yako utafikiri hayawani au mwendawazimu"
Ametapeliwa mazao yake yote kwa nja ya stakabadhi shambani.Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?
Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.
Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.
Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?
Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?
Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.
Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.
Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?
Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
Mwaka unaisha hata watu wa chama hawajamtafuta famasiala niniNdugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?
Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.
Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.
Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?
Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
mwambieni akifanya mchezo atabubujikwa hadi na π©π©π© ccm siyo watu wazuriAna mitusi ya kutisha huyu chawa anayebubujikwa na machozi ya uchungu kukosea uteuzi.... Alianza kutokuweka namba ya simu lakini Bado anashangaa kizee Cha miaka 98 WASSIRA anateuliwa yeye Hana kazi .... Lucas ni chawa iliyokosa cheo analia ndani Kwa ndani.
Hahaha.... Halafu ukute anayetaka kuzibua mtaro ili bubujiko litokee ni mzee Tyson.mwambieni akifanya mchezo atabubujikwa hadi na π©π©π© ccm siyo watu wazuri
Ninamashaka sana na huyu kijana msambwanda ...sijui kama ccm hawata mtafuna msambwanda wake πππ..makomredi (Top) sisiemu wapo kibao wanagombewa na makada (bottom) kama nini....siku hizi ccm kuna makada wengi kweli kweli yaani siyo hajabu tena kuwaona tena wapo wazi wazi kabisaHahaha.... Halafu ukute anayetaka kuzibua mtaro ili bubujiko litokee ni mzee Tyson.