Nini kimemsibu Raila Odinga?

Nini kimemsibu Raila Odinga?

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
460
Reaction score
373
Wakuu, Waziri Mkuu was zamani wa Kenya, Leo alikuwa mgeni rasmi kwenye fainali za sportpesa, mara tu baada ya kikabidhi kombe kwa Kariobangi Sharks, ameonekana anataka kuanguka, ilibidi asaidiwe....Nini kimetokea mwenye taarifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km huna akili hata macho hayaoni?

Back
Top Bottom