Wakuu, Waziri Mkuu was zamani wa Kenya, Leo alikuwa mgeni rasmi kwenye fainali za sportpesa, mara tu baada ya kikabidhi kombe kwa Kariobangi Sharks, ameonekana anataka kuanguka, ilibidi asaidiwe....Nini kimetokea mwenye taarifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio makubaliano yao na Kenyatta