Nini kimepelekea kushuka kwa uchumi wa la liga?

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita hawa jamaa(madrid na barca) walikuwa wakimtaka mchezaji hauchomoi. Hazard 120m,de jong 80m griezmanm 120m n.k. Lakini leo barca hata lewandowski anayepatikana kwa bei chee imekuwa ngumu sana kumpata. Alba rudiger depay aubameyang aguero traore wote wamewapata bure.Epl ndo naona wanatamba siku hizi lukaku 90m haaland 60m nunez 80m sancho 80m grealish 100m na sio mda wanamchukua de jong. Sajili nyingi la liga siku hizi zimekuwa ni za bure tena wachezaji wenyewe wanaenda kupunguziwa mishahara hasa barca. Ni nini kimewakuta hawa jamaa mpaka wamefikia hatua ya kukodisha uwanja kwa ajili ya harusi??
 
Wana madeni megi
 
Kukosekana kwa Messi na Cr7.
Kibiashara hao watu walipelekea soko la bidhaa za kibiashara toka Laliga kuwa kubwa. Hata vutuo vya Tv's toka mataifa mengi vilinunua haki za matangazo ya kuonesha kama vile Azam et al ila kwa sasa haina mvuto.
Pili changamoto za Covid19 pamoja na madeni makubwa waliyokopa huko nyuma.
 
Wachezaji wanaoenda la liga sasa hivi ni wale wanaokaribia kustaafu
 
Barca madeni yanaiumiza, Majirani zao wako vizuri
 
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita hawa jamaa(madrid na barca) walikuwa wakimtaka mchezaji hauchomoi. Hazard 120m,de jong 80m griezmanm 120m n.k. Lakini leo barca hata lewandowski anayepatikana kwa bei chee imekuwa ngumu sana kumpata. Alba rudiger depay aubameyang aguero traore wote wamewapata bure.Epl ndo naona wanatamba siku hizi lukaku 90m haaland 60m nunez 80m sancho 80m grealish 100m na sio mda wanamchukua de jong. Sajili nyingi la liga siku hizi zimekuwa ni za bure tena wachezaji wenyewe wanaenda kupunguziwa mishahara hasa barca. Ni nini kimewakuta hawa jamaa mpaka wamefikia hatua ya kukodisha uwanja kwa ajili ya harusi??

Umesahau Madrid alitoa 200m kwa mbappe PSG wakakataa. Hela bado wanayo wakiamua wanachukua tu, Barca uchumi umeyumba na wana madeni ila pia wamewekewa ngumu ya kusajiri...wamevuka ukomo wa matumizi ya pesa.
 
Corona imewaathiri sana Barcelona, hasa ile lockdown.
Pia Idara ya mapato ya nchi hiyo kwa namna Fulani imewablack mail wachezaji maarufu kwa mifumo isiyoelewa sawa sawa ya kodi ya nchi hiyo. Waathirika ni Messi, Ronald na wengineo. Hii imepelekea wawekezaji wengi kuhamisha fedha zao ( Nawaza)!
 
Nafikiri tatizo liko kwa Barca siyo Laliga kwa ujumla! Matatizo ya kifedha anayo barca siyo timu zote za Laliga. Bodi ya Barca iliyopita ilifanya matumizi makubwa ya ajabu ajabu kwa kununua wachezaji wengi kwa bei kubwa na kuwalipa mishahara na bonusi kubwa kubwa plus lockdown ya kipindi cha mwaka Jana.
 
Real Madrid project ya kukarabati Santiago bernabeu imetafuna pesa zako nyingi sana takribani euro million 900 plus COVID-19 19 co walikua kama wamesizi ivi
 
Back
Top Bottom