Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Ni nini kimetokea mbona Simba Queens imekuwa timu mbovu ghafla? Ni huyu Kocha mpya au kuna tatizo la kiungozi? Ukiitizama Simba Queens hii na ile iliyofuzu Klabu Bingwa (siyo iliyocheza klabu Bingwa) utaona gap kubwa. Wachezaji wazito, hawako motivated, sio wakakamavu na hawako kiushindani ingawa inaonekana kuwa na wachezaji wazuri tu.
Mlio kwenye uongozi mjitafakari, Simba Queens mwenendo wa timu sio mzuri kabisa. Yanga princess haijawahi kuwa imara kwa Simba Queens kwa miaka mingi tu. Shida iko wapi?
Mlio kwenye uongozi mjitafakari, Simba Queens mwenendo wa timu sio mzuri kabisa. Yanga princess haijawahi kuwa imara kwa Simba Queens kwa miaka mingi tu. Shida iko wapi?