Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Toka wambadilishe kocha wao mpira wa Simba Qeens umeshuka sana.Ni nini kimetokea mbona Simba Queens imekuwa timu mbovu ghafla? Ni huyu Kocha mpya au kuna tatizo la kiungozi?
Hivi kweli Simba tuna viongozi wanaojua soka au just kwa kuwa wana pesa??Toka wambadilishe kocha wao mpira wa Simba Qeens umeshuka sana.
Leo wanaambulia kipigo cha pili kwenye mechi tatu.
Ni Pesa tu Mkuu.Hivi kweli Simba tuna viongozi wanaojua soka au just kwa kuwa wana pesa??
Kama Serikali ya chama cha mambuzi😀Ni Pesa tu Mkuu.
Simba kwa sasa haina pesa.
Upo sahihi na ndio kitu nliokua nawaambia watu wakati natazama mpira kocha huyu wqkawaida sanaHuyu Kocha hana uwezo kumzidi Sebastian Mkoma. Mechi ya marudiano Simba Queens anapigwa.
Huu ni uchawi wa bumbuwazi, ni kazi ya mganga wa Yanga ambaye pia aliwahi kuwatumikia Simba wakati Manara akiwa Simba. Mganga huyu aliletwa Simba na Manara. Baada ya Manara kutimuliwa alihama na mganga wake kwa sababu ni mtu ambaye anammudu. Huyu mganga ndiyo anawapa Yanga masharti ya kwenda kutoa sadaka kwenye vituo vya watoto yatima na wazee wasiojiweza. Hata wakati akiwa Simba alikuwa anatoa masharti hayo. Kwa hiyo mkitaka Simba na Azam wafanye vizuri dawa ni kudeal na huyo mganga kwa gharama yeyote ile.Ni nini kimetokea mbona Simba Queens imekuwa timu mbovu ghafla? Ni huyu Kocha mpya au kuna tatizo la kiungozi? Ukiitizama Simba Queens hii na ile iliyofuzu Klabu Bingwa (siyo iliyocheza klabu Bingwa) utaona gap kubwa. Wachezaji wazito, hawako motivated, sio wakakamavu na hawako kiushindani ingawa inaonekana kuwa na wachezaji wazuri tu.
Mlio kwenye uongozi mjitafakari, Simba Queens mwenendo wa timu sio mzuri kabisa. Yanga princess haijawahi kuwa imara kwa Simba Queens kwa miaka mingi tu. Shida iko wapi???
Yaani Simba ana butuliwa na Yanga kabla ya uhuru wa Tanganyika, Yanga Ina vikombe 28 vya ligi kuu Ina maana iyo miaka yote walikua wakimtumia mganga wa manara!Huu ni uchawi wa bumbuwazi, ni kazi ya mganga wa Yanga ambaye pia aliwahi kuwatumikia Simba wakati Manara akiwa Simba. Mganga huyu aliletwa Simba na Manara. Baada ya Manara kutimuliwa alihama na mganga wake kwa sababu ni mtu ambaye anammudu. Huyu mganga ndiyo anawapa Yanga masharti ya kwenda kutoa sadaka kwenye vituo vya watoto yatima na wazee wasiojiweza. Hata wakati akiwa Simba alikuwa anatoa masharti hayo. Kwa hiyo mkitaka Simba na Azam wafanye vizuri dawa ni kudeal na huyo mganga kwa gharama yeyote ile.
Yanga kutoa misaada katika vituo vya watoto yatima wameanza hata kabla manara hajajiunga nao....Huu ni uchawi wa bumbuwazi, ni kazi ya mganga wa Yanga ambaye pia aliwahi kuwatumikia Simba wakati Manara akiwa Simba. Mganga huyu aliletwa Simba na Manara. Baada ya Manara kutimuliwa alihama na mganga wake kwa sababu ni mtu ambaye anammudu. Huyu mganga ndiyo anawapa Yanga masharti ya kwenda kutoa sadaka kwenye vituo vya watoto yatima na wazee wasiojiweza. Hata wakati akiwa Simba alikuwa anatoa masharti hayo. Kwa hiyo mkitaka Simba na Azam wafanye vizuri dawa ni kudeal na huyo mganga kwa gharama yeyote ile.
1 - 1Ngapi ngapi wakuu?
Mkuu nilisikia hii Simba Queen yule mlezi wake Dada yake na Mwamedi amejitoa,je ni kweli na kama ni kweli ndio sababu ya kufanya vibaya?Ni Pesa tu Mkuu.
Simba kwa sasa haina pesa.
We angalia usajiri uliopita.
Ni cheap players ndio walisajiriwa na wanaishia kukaa bechi na kula mshahala wa bure.
Yanga kwa sasa wako very serious and committed