Nini kimesababisha Simba Queens kuwa timu mbovu ghafla?

Huyu Kocha hana uwezo kumzidi Sebastian Mkoma. Mechi ya marudiano Simba Queens anapigwa.
Nadhani kufungwa haitakuwa kipimo cha ubora wa kocha maana hata huyo Sebastian Mkoma alifungwa na Yanga Princess ya Edna Lema na bado Yanga wakamchukua kama mbadala wa Lema
 

Viongozi wameiua timu kubwa Sasa wamehamia kwenye timu ya wanawake. Unamtoa kocha aliyeshinda CECAFA, unaleta boya kutoka Uganda. Simba Ina Viongozi wa hovyo Sana.
 
Kilicho nishangaza Mimi asha djafari na viviane corazone kuanza benchi tena dabi na wote tunajua viwango vyao vipo juu na baada ya kuingia Simba anasawazisha bao na kuanza kuja juu
 
ukiona timu inafungwa mfululizo ujue wachezaji hawamtaki kocha, au benchi lote la ufundi.. huo ni mgomo baridi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…