Kuna probability watakaoenda huko wataenda kwa diplomatic passports sababu ya hali ya kiusalama ya nchi yenyeweKivipi mkuu
Ebwanaee wanichukue tuKuna probability watakaoenda huko wataenda kwa diplomatic passports sababu ya hali ya kiusalama ya nchi yenyewe
Kuna diplomatic immunity ambayo ipo kisheria kwa wafanyakazi wote wa kidiplomasia au wa mashirika ya UN na baadhi ya NGOs ambapo utapewa ulinzi na utakua na privileges ambazo mwananchi wa kawaida wa South Sudan hana kwa mujibu wa Vienna Diplomatic Convention.
😅😅 Ni kweli ila watakupa kitambulisho na gari utakayo tumia plate number itakuwa na rangi tofauti na characters tofauti.Ebwanaee wanichukue tu
Kama ulinzi upo hakuna tatizo
Ila wa afrika sie tunajua diplomatic staff ni wazungu tu hapo ndio tatizo wanaweza kunifananisha na wajuba wenzao ikawa msala. Kumbe mie mwanadiplomasia wa watu
Wanatumia English
Kwanza hakuna kabila linalopatikana south Sudan na Kenya a part from nilotics and they migrated long time ago,pili hamna muingiliano wa watu Kati ya Kenya na south Sudan , Tanzania, Ethiopia, Somalia na Uganda kuna muingiliano wa watu south Sudan hamna , tatu fahamu kuwa nchi hua na mahusiano mengi tu na south Sudan ku-sign mkataba na Tanzania does not overturn the already existing treaties. For your information Kenya has invested heavily in south Sudan and stands to benefit the most, even the tallest building in south Sudan is owned by a Kenyan,our investment is from financial, insurance, pharmaceutical, education etc and I know you are just after Kiki as usual.Kenya na South Sudan ni kati ya mataifa mawili yanayo share muingiliano mkubwa wa watu na mipaka baina yao kwa upande wa kaskazini mwa Kenya, nafikiri pia kuna Jamii moja inayopatikana pande zote mbili kama kwa maasai upande wa Tanzania na Kenya
View attachment 1034127
Baada ya kupata kujitenga na Sudan na kua Taifa lingine, South Sudan ilikua beneti sana na Kenya kwa kila jambo pia Kenya imeshiriki pakubwa kuisaidia South Sudan kujitegemea na mpaka viongozi wa South Sudan walikua wakiishi Kenya Nairobi kwa kipindi kirefu wao pamoja na jamaa zao wakati na baada ya kutengana na Sudan pia kuna idadi kubwa tu ya wakimbizi wa South Sudan wanaoishi Kenya
Wananchi wa South Sudan wanamiliki vitega uchumi vingi tu nchini Kenya lakini siku za hivi karibuni nchi hizi mbili zimeonekana kupunguza ushirika wao kwa kasi ya kutosha au labda tuseme Kenya ina migogoro na kila jirani, Uganda hawako sawa sababu ya Migingo na uhusiano umekua mbaya kiasi la kuwanyima bomba la mafuta na reli ya SGR , Somalia ndio kama mjuavyo wanachukua bahari almost robo ya Kenya na mgogoro umefikia hatua ya kufukuza mabalozi, kule Ethiopia wamekiuka mkataba waliowekeana kwa Ethiopia kukataa kutumia bandari ya Mombasa na bandari waliyoandaliwa ya Lamu kwa Ethiopia kukimbilia Eritrea na Djibouti wazi wazi.
View attachment 1034128
Nini kimeipata Kenya na majirani zake, ni kwanini kila jirani hawapo kwenye good terms na Kenya na wote wanaonekana kutaka isolation na Kenya na sio Kenya isolated them, nimetafakari kwa kina nikagundua Kenya ina matatizo makubwa sana ambayo yanaigharimu pakubwa kiuchumi na kisiasa vibaya mno.
Ni jana nashangaa kuona ujumbe mzito kutoka South Sudan ukikimbilia Tanzania na kuiruka Kenya pua na mdomo kwa kuja kutaka msaada wa Tanzania kwa masuala ambayo Kenya wanayaweza vizuri mno
Ujumbe huu mawaziri wa South Sudan umetenga millions of dollars kwaajili ya wataalam wa Tanzania kwenye masuala ya elimu, kilimo, diplomacy, mazingira, utamaduni na amani, wameahidi donge nono na maslahi mapana kwa wabobezi wa kitanzania kwenye hizo kada waende South Sudan mwezi ujao kuhudumu kwenye sector nyeti hizo kwa mamia.
Baada ya kuliona hili ndipo nilipo rejea diplomacy situation kati ya Kenya na majirani zake, nini tatizo?
Haaa haaa mzee baba utakomaaEbwanaee wanichukue tu
Kama ulinzi upo hakuna tatizo
Ila wa afrika sie tunajua diplomatic staff ni wazungu tu hapo ndio tatizo wanaweza kunifananisha na wajuba wenzao ikawa msala. Kumbe mie mwanadiplomasia wa watu
Of coz Wana tabia ya kujiona mabwana mkubwa na sio kind kihivyo nmefanya nao uchumi supamaketiMkenya hata kuishi nae ni tabu tu,anakawaida ya kuwaona wenzake kama wajinga wajinga flani hivi
Kiswahili hua kinaenezwa na wakenya sio watanzania.Real. Lkn tuna fursa ya kueneza kiswahili.
Na hatunaga tabia ya kubembeleza tunakunyanyua mzima mzima.Of coz Wana tabia ya kujiona mabwana mkubwa na sio kind kihivyo nmefanya nao uchumi supamaketi
Angekua anajua ule ushirikiano unaoendelea kati ya waKenya na waSouth Sudan hangekua anaongea upuzi kama huo.. My niece alisoma na mtoto wa rais wa South Sudan pale utawala primary.Hahaha! 😀 Ushirikiano kati ya Kenya na S.Sudan bado upo imara kabisa. Tz hamna huo ubavu wa kutishia uwekezaji wa wakenya kule S.Sudan. Mabenki, biashara, mashule na makanisa ya kikenya ni mengi sana huko, S.Sudan wanafunzwa na walimu wakenya mashuleni, wanatumia syllabus na vitabu vya Kenya hadi na mitihani wanafanya ya Kenya. Ila fursa zipo kwa wingi.
Rais Kenyatta ako Ethiopia sahii kwa kongamano la Kenya-Ethiopia high level trade forum ambapo wame sign mkataba wa Special Status Agreement kitu ambacho Kenya haijawahi fanya na jirani mwengine yeyote.Mji wa Moyale ambao uko mpakani mwa Kenya na Ethiopia, hilo eneo lote litafanywa Free-Trade-Zone ambapo kutajengwa viwanda ambavyo vitamilikiwa 50-50 na faida itagawanywa hivyo hivyo... Which means kama kutakua na export au import ya raw materials, watatumia Lamu port.. Hapo kwa hio free trade zone itakua hakuna kulipa kodi chochote kinachotengezewa hapo kitakua bei rahisi kabisa..Kenya na South Sudan ni kati ya mataifa mawili yanayo share muingiliano mkubwa wa watu na mipaka baina yao kwa upande wa kaskazini mwa Kenya, nafikiri pia kuna Jamii moja inayopatikana pande zote mbili kama kwa maasai upande wa Tanzania na Kenya
View attachment 1034127
Baada ya kupata kujitenga na Sudan na kua Taifa lingine, South Sudan ilikua beneti sana na Kenya kwa kila jambo pia Kenya imeshiriki pakubwa kuisaidia South Sudan kujitegemea na mpaka viongozi wa South Sudan walikua wakiishi Kenya Nairobi kwa kipindi kirefu wao pamoja na jamaa zao wakati na baada ya kutengana na Sudan pia kuna idadi kubwa tu ya wakimbizi wa South Sudan wanaoishi Kenya
Wananchi wa South Sudan wanamiliki vitega uchumi vingi tu nchini Kenya lakini siku za hivi karibuni nchi hizi mbili zimeonekana kupunguza ushirika wao kwa kasi ya kutosha au labda tuseme Kenya ina migogoro na kila jirani, Uganda hawako sawa sababu ya Migingo na uhusiano umekua mbaya kiasi la kuwanyima bomba la mafuta na reli ya SGR , Somalia ndio kama mjuavyo wanachukua bahari almost robo ya Kenya na mgogoro umefikia hatua ya kufukuza mabalozi, kule Ethiopia wamekiuka mkataba waliowekeana kwa Ethiopia kukataa kutumia bandari ya Mombasa na bandari waliyoandaliwa ya Lamu kwa Ethiopia kukimbilia Eritrea na Djibouti wazi wazi.
View attachment 1034128
Nini kimeipata Kenya na majirani zake, ni kwanini kila jirani hawapo kwenye good terms na Kenya na wote wanaonekana kutaka isolation na Kenya na sio Kenya isolated them, nimetafakari kwa kina nikagundua Kenya ina matatizo makubwa sana ambayo yanaigharimu pakubwa kiuchumi na kisiasa vibaya mno.
Ni jana nashangaa kuona ujumbe mzito kutoka South Sudan ukikimbilia Tanzania na kuiruka Kenya pua na mdomo kwa kuja kutaka msaada wa Tanzania kwa masuala ambayo Kenya wanayaweza vizuri mno
Ujumbe huu mawaziri wa South Sudan umetenga millions of dollars kwaajili ya wataalam wa Tanzania kwenye masuala ya elimu, kilimo, diplomacy, mazingira, utamaduni na amani, wameahidi donge nono na maslahi mapana kwa wabobezi wa kitanzania kwenye hizo kada waende South Sudan mwezi ujao kuhudumu kwenye sector nyeti hizo kwa mamia.
Baada ya kuliona hili ndipo nilipo rejea diplomacy situation kati ya Kenya na majirani zake, nini tatizo?
Uongo mtupu! Mbolea yenu mliipachika label ya 'Made in Kenya' mkijaribu kuwahadaa wakulima wakitanzania ili wainunue. Kisa wakulima wenu walikuwa wanapenda kununua na kutumia mbolea kutoka Kenya kwasababu ya 'quality' yake. Tulifaa tuwatoze ada kwasababu ya kutumia jina la Kenya. Mnailaumu Kenya mkikosa kuwa wazalendo kwa nchi yenu?Wakenya ni majirani zetu ila wanatabia ya kujiona sana wanatamani kila kitu kozur kitoke kwao au kifanywe na wao miaka michache iliyopota wazir mkuu wa Tanzania alizuia mbolea inayozalishwa Tanzania kuwekwa made in Kenya kwa sababu wakenya walitoa masharti wakitaka kununua mbolea iwekwevimezalishwa kwao hii inaonyesha jinsi gan hawa jamaa walivyo wabinafsi. Hii inawakera wengine na kama ni tabia yao sio tuu wameifanya Tz itakua wanafanya na sehemu nyingine hakuna asiyetaka kitambulika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo viwanda ambavyo mtamiliki 50/50 atajenga nani!? Ethiopia wakina Mo na Bakhressa wao ni wachina. Yani kama Kenya mnaona wa Ethiopia nima industrialist basi wote mmelewa kama raisi wenu.Rais Kenyatta ako Ethiopia sahii kwa kongamano la Kenya-Ethiopia high level trade forum ambapo wame sign mkataba wa Special Status Agreement kitu ambacho Kenya haijawahi fanya na jirani mwengine yeyote.Mji wa Moyale ambao uko mpakani mwa Kenya na Ethiopia, hilo eneo lote litafanywa Free-Trade-Zone ambapo kutajengwa viwanda ambavyo vitamilikiwa 50-50 na faida itagawanywa hivyo hivyo... Which means kama kutakua na export au import ya raw materials, watatumia Lamu port.. Hapo kwa hio free trade zone itakua hakuna kulipa kodi chochote kinachotengezewa hapo kitakua bei rahisi kabisa..
Hebu angalia vile jamaa ni marafiki
https://www.facebook.com/
Pia Kenyatta alitembelea viwanda kadhaa vilivyo addis ababa
Kwahivyo acha kueneza vitu ambavyo viko akilini mwako pekee
Acha kinyongo we tulia hapo kijiweni tena usisubutu kusema chochote uyaone maendeleo ya wenzako ,mtaisoma namba Kenya ni Ile ile mkaichukia wenyewe basi mtakufa Kwa kinyongo maana Kwa haya maendeleo hamtosogei hata kidogo.Hivyo viwanda ambavyo mtamiliki 50/50 atajenga nani!? Ethiopia wakina Mo na Bakhressa wao ni wachina. Yani kama Kenya mnaona wa Ethiopia nima industrialist basi wote mmelewa kama raisi wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mkataba ume andaliwa Nairobi, Wa Ethiopia wame sign kama geresha ila ukweli hautekelezeki. Imeshakua habit sasa Uhuru kila nchi anayo enda anakurupuka na mikataba kutoka kwenye briefcase. China alienda na mkataba kudai China ijenge rail bure! akahisi anaeza pata deal alilopata Tz kwenye TAZARA [emoji23]. Ila hii trick ina work kuwakamata mazuzu ya Jubilee.Acha kinyongo we tulia hapo kijiweni tena usisubutu kusema chochote uyaone maendeleo ya wenzako ,mtaisoma namba Kenya ni Ile ile mkaichukia wenyewe basi mtakufa Kwa kinyongo maana Kwa haya maendeleo hamtosogei hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba umeandaliwa adis Ababa kumbuka Ethiopia imo katika harakati ya kufungua uchumi wake na Kenya ni jirani mhimu Sana katika uchumi wa Ethiopia ,nyie pambaneni na hali yenu tumewawachia Burundi.Huo mkataba ume andaliwa Nairobi, Wa Ethiopia wame sign kama geresha ila ukweli hautekelezeki. Imeshakua habit sasa Uhuru kila nchi anayo enda anakurupuka na mikataba kutoka kwenye briefcase. China alienda na mkataba kudai China ijenge rail bure! akahisi anaeza pata deal alilopata Tz kwenye TAZARA [emoji23]. Ila hii trick ina work kuwakamata mazuzu ya Jubilee.
Sent using Jamii Forums mobile app