Umesahau kusema kuwa mlituachia deal la mabilioni ya dola la EACOP na Railway link to Rwanda. SGR to UG na yenyewe kuna dalili mnaeza tuachia pia. Lately Kenya mmekua na roho nzuri. [emoji23]Mkataba umeandaliwa adis Ababa kumbuka Ethiopia imo katika harakati ya kufungua uchumi wake na Kenya ni jirani mhimu Sana katika uchumi wa Ethiopia ,nyie pambaneni na hali yenu tumewawachia Burundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameona Tanzania pia ni nchi yenye big pontential ususani kwenye swala la usamabazaji wa chakulaKenya na South Sudan ni kati ya mataifa mawili yanayo share muingiliano mkubwa wa watu na mipaka baina yao kwa upande wa kaskazini mwa Kenya, nafikiri pia kuna Jamii moja inayopatikana pande zote mbili kama kwa maasai upande wa Tanzania na Kenya
View attachment 1034127
Baada ya kupata kujitenga na Sudan na kua Taifa lingine, South Sudan ilikua beneti sana na Kenya kwa kila jambo pia Kenya imeshiriki pakubwa kuisaidia South Sudan kujitegemea na mpaka viongozi wa South Sudan walikua wakiishi Kenya Nairobi kwa kipindi kirefu wao pamoja na jamaa zao wakati na baada ya kutengana na Sudan pia kuna idadi kubwa tu ya wakimbizi wa South Sudan wanaoishi Kenya
Wananchi wa South Sudan wanamiliki vitega uchumi vingi tu nchini Kenya lakini siku za hivi karibuni nchi hizi mbili zimeonekana kupunguza ushirika wao kwa kasi ya kutosha au labda tuseme Kenya ina migogoro na kila jirani, Uganda hawako sawa sababu ya Migingo na uhusiano umekua mbaya kiasi la kuwanyima bomba la mafuta na reli ya SGR , Somalia ndio kama mjuavyo wanachukua bahari almost robo ya Kenya na mgogoro umefikia hatua ya kufukuza mabalozi, kule Ethiopia wamekiuka mkataba waliowekeana kwa Ethiopia kukataa kutumia bandari ya Mombasa na bandari waliyoandaliwa ya Lamu kwa Ethiopia kukimbilia Eritrea na Djibouti wazi wazi.
View attachment 1034128
Nini kimeipata Kenya na majirani zake, ni kwanini kila jirani hawapo kwenye good terms na Kenya na wote wanaonekana kutaka isolation na Kenya na sio Kenya isolated them, nimetafakari kwa kina nikagundua Kenya ina matatizo makubwa sana ambayo yanaigharimu pakubwa kiuchumi na kisiasa vibaya mno.
Ni jana nashangaa kuona ujumbe mzito kutoka South Sudan ukikimbilia Tanzania na kuiruka Kenya pua na mdomo kwa kuja kutaka msaada wa Tanzania kwa masuala ambayo Kenya wanayaweza vizuri mno
Ujumbe huu mawaziri wa South Sudan umetenga millions of dollars kwaajili ya wataalam wa Tanzania kwenye masuala ya elimu, kilimo, diplomacy, mazingira, utamaduni na amani, wameahidi donge nono na maslahi mapana kwa wabobezi wa kitanzania kwenye hizo kada waende South Sudan mwezi ujao kuhudumu kwenye sector nyeti hizo kwa mamia.
Baada ya kuliona hili ndipo nilipo rejea diplomacy situation kati ya Kenya na majirani zake, nini tatizo?
Tuna rafiki wapya wacongoman na Kaka zetu waethiopia hivyo vingine fanyeni mnavyotaka nyie shauri yenu.Umesahau kusema kuwa mlituachia deal la mabilioni ya dola la EACOP na Railway link to Rwanda. SGR to UG na yenyewe kuna dalili mnaeza tuachia pia. Lately Kenya mmekua na roho nzuri. [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Nyie mkilima na Sisi tulime mtauza wapi? Si mtakufa umasikini,nyie limeni sie tutafute ela za kununua ili tuwakomoe katika umasikini wenu unaoleta aibu ukanda huu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wameona Tanzania pia ni nchi yenye big pontential ususani kwenye swala la usamabazaji wa chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
usiniquote tena ulimbukeni na ujinga wako nenda kakojoe ulale mapemaSasa Nyie mkilima na Sisi tulime mtauza wapi? Si mtakufa umasikini,nyie limeni sie tutafute ela za kununua ili tuwakomoe katika umasikini wenu unaoleta aibu ukanda huu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebwanaee nimeangalia clip naona hili deal litanifaa sana vipi tunafikaje huko me napenda sana adventure nafikili naweza kupata hii chance huko Juba
Museveni akiwa mugwana hata mafuta ya SS yatapita uganda hadi tanga.
Hongera SS & TZ. HAKUNA mtu aliye na akili timamu anaweza piga dili kama hizi na fisadi kama kenyatta
Kweli mkuu ata kwenye ma group ya Whatsapp wanapenda kujitenga na kujifanya wao ndo waelevu sanaMkenya hata kuishi nae ni tabu tu,anakawaida ya kuwaona wenzake kama wajinga wajinga flani hivi
Wewe huna unalojua Kuhusu uchumi, kuimarika kwa shilingi kuna maana gani kama exports zako zinazidi kupungua na imports zinazidi kuongezeka?.Ni aibu kusema Mhe Kenyatta ni fisadi wakati anaongoza nchi democratically na ameweza kufanya shillingi ya Kenya kuwa imara duniani, Kshs. 99.00(ninety nine)= dollar 1(one dollar) wakati Tz shs 2400.00(two thousand four hundred) = One dollar(1)!!!empty tins make a lot of noise literarily means debe tupu hupiga kelele)!
Unafahamu kwamba shillingi ya kenya ni "managed" kwa mujibu wa taarifa ya IMF? Shilling ya Tz ni free market floatingNi aibu kusema Mhe Kenyatta ni fisadi wakati anaongoza nchi democratically na ameweza kufanya shillingi ya Kenya kuwa imara duniani, Kshs. 99.00(ninety nine)= dollar 1(one dollar) wakati Tz shs 2400.00(two thousand four hundred) = One dollar(1)!!!empty tins make a lot of noise literarily means debe tupu hupiga kelele)!
Both ni dirty float!Acha kudanganya mkikuyu. You really loathe Kenya, don't you?Unafahamu kwamba shillingi ya kenya ni "managed" kwa mujibu wa taarifa ya IMF? Shilling ya Tz ni free market floating
Shilling overvalued by 17.5 per cent, says IMF : The StandardBoth ni dirty float!Acha kudanganya mkikuyu. You really loathe Kenya, don't you?
Jiwe limepigwa gizani likampata mja,Kwa hilo povu sisemikitu maana unaweza ukajinyonga.usiniquote tena ulimbukeni na ujinga wako nenda kakojoe ulale mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Do you know how free trade areas work ? Kampuni yoyote ikijenga kiwanda hapo iraruhusiwa kuuza bidhaa ndani ya Kenya na ndani ya Ethiopia bila kulipa tarrif yoyote zaidi... Ni Kampuni gani itakataa kujenga kiwanda mahali ambapo wako na mguu mmoja Ethiopia na mwengine Kenya... Yani itakua hakuna haha ya Kampuni za Kenya kujenga kiwanda Ethiopia (kama Ile Kampuni ya kutengenezwa biscuits ilivyofanya, itakua inajenga hapo moyale na Una supply Ethiopia na Kenya....Hivyo viwanda ambavyo mtamiliki 50/50 atajenga nani!? Ethiopia wakina Mo na Bakhressa wao ni wachina. Yani kama Kenya mnaona wa Ethiopia nima industrialist basi wote mmelewa kama raisi wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
bado sijakuona kama umequalify kujadiliana na mimi bado sanaJiwe limepigwa gizani likampata mja,Kwa hilo povu sisemikitu maana unaweza ukajinyonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna unalojua Kuhusu uchumi, kuimarika kwa shilingi kuna maana gani kama exports zako zinazidi kupungua na imports zinazidi kuongezeka?.
Kenya unemployment inazidi kila mwaka, wananchi wanazidi kukamuliwa kwa kutozwa kodi, nchi inazidi kukopa ili kulipa madeni ya nyuma, uwezo wa kujilisha unazidi kupungua hadi rais wao analalamika, rushwa inazidi kushika kasi, hali ya usalama nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana Mimi si mmbea na sipatikani kijiweni kama wiye. Ukikomaa kiakili na kimawazo njoo tujadiliane.
Mkenya na lifake id la 30Umesahau Kenya inatoa kila mwaka wasomi wazuri wa hali juu na kwa sababu ya msingi mizuri ya shule zao, maelfu kwa maelfu ya Wakenya wanafanya kazi nchi za nje, home remittance kutoka Ughaibuni inazidi total income zinazongizwa na Watalii Tanzania! Hii inaonyesha kuwa Kenya ina export brain sana mpaka wengine ni Wabunge kule Australia!!!! Zaidi ya Wakenya millioni moja wanafanya kazi Mashariki ya kati na namba kubwa zaidi ya hiyo wanafanya kazi Marekani ya Kazikazini(North America)!! Linganisha sasa upendavyo wewe!
hivi wewe kiumbe you out minds mbona unatabia za kike weweMaana Mimi si mmbea na sipatikani kijiweni kama wiye. Ukikomaa kiakili na kimawazo njoo tujadiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app