supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
Kuna hizi habari zimekuwa zinasambaa sana kuhusu vifo vya Wakenya. Wiki hii utasikia mtu kamuua mpenzi wake, ukikaa kidogo unakutana na habari nyingine watoto wa mtu fulani wamemuua mpenzi wa mama yao, ukiendelea kushangaa unakuta tena mtu nae kajiua mwenyewe kwa sababu kanyimwa pesa na mke wake. Hawa jirani zetu wamekumbwa na kitu gani aiseee?