Nini kimewapata BAWACHA?

Nini kimewapata BAWACHA?

Fundi Mchundo

Platinum Member
Joined
Nov 9, 2007
Posts
10,448
Reaction score
8,705
Mbona BAWACHA wako kimya sana? Tarehe 8 ni siku ya wanawake duniani lakini hatuoni kitu kwenye social media account zao. Hii sio kawaida yao.

Amandla...
 
Imetangazwa wapi? Mimi binafsi namkubali sana Sharifa lakini huu ukimya unanitia wasiwasi.

Amandla...
 
Back
Top Bottom