Nini kimewapata BMTL? (copy cat)

Nini kimewapata BMTL? (copy cat)

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Hii ilijulikana kama kampuni maarufu ya kuuza vifaa vya maofisini. Sasa imebadilisha jina na kujiita Copy Cat! Je kuna nini kimetokea na kusababisha mabadiliko hayo? Mwenye taarifa atujuze!
 
Ushauri wa wachawi wao. Hao wahindi wanahusudu uchawi kuliko kitu kingine
 
Je wajua mmoja wa mkurugenzi wake ni MUASHI HURU.
 
change of name ni kitu cha kawaida nyie mambwiga, acheni stori za vijiweni
 
change of name ni kitu cha kawaida nyie mambwiga, acheni stori za vijiweni

Change of name inawezakuwa kwa sababu zifuatazo-

1. Ukwepaji wa kodi kwa mwekezaji..
2. Upanukaji wa biashara sehemu moja kwenda sehemu nyingine ili kukidhi soko la kimataifa.
3. Sifa mbaya ambazo zimeharibu au kuathiri jina la kampuni.
4. Sababu yoyote ile.

Bwiga weee!!!!
 
Jina la Copycat lilikuwa linatumika kwenye kampuni yao ya Kenya
 
Back
Top Bottom