Nini kimewapata Mtibwa Sugar

sindesunde

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
358
Reaction score
348
Bila kupoteza muda mtibwa anayo kazi kwa mtindo huu anaweza akashuka daraja
 
Timu hii maarufu kama wakata miwa imejizolea umaarufu kwanza kwa kuwaabisha wakongwe Simba na Yanga lakini imezalisha vipaji vingi sana vilivotamba kwenye vilabu vya Simba Yanga na Azam lakini hatimaye wanaelekea kushuka daraja nini kimetokea?
 
Msimu huu wamenusurika,washenzi Sana wanakaza round ya kwanza misimu yote wakiona wako salama wanaanza kuuza mechi,msimu huu walikua nusu mizimu nusu peponi
 
Tatizo lipo kwa uongozi wakati ligi inaanza kocha wao alikuwa timu ya taifa ya vijana walitakiwa wamwambie achague kazi moja ama TFF wamwajili au abaki Mtibwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…