Nini kimewasibu Penguin na Pangani pure drinking water?

maridadioh

Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
47
Reaction score
20
Habari zenu wadau.

Msaada na mawazo, kwa wakazi wa DSM mtakuwa sio wageni na haya maji. Anayejua chochote au mwenye data yoyote kuhusu kilichowatoa sokoni hawa jamaa Penguin na Pangani pure drinking water ni nini. Naomba mchanganuo apo ni nini changamoto au kuna weakness yoyote.

Karibuni wadau
 
Hayo maji nakumbuka wiki iliyopita niliyakuta Tandahimba Mtwara nikabaki nashangaa eti yanatoka dar, sijawahi yaona popote zaidi ya huko hata kunywa niliogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…